Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mrangi kumbe wewe mpambanaji?Nilikuwa nakusanya jongoo bahari
Na jongoo wkt ule ilikuwa haina vibali
Nliingia mafia kwa speed kubwa ya kazi
Kidume nna boti faiba 2 na engen yendura hp 15 zko 2....nlikuwa nawasumbua sana askari wa Doris hko
Sema kituo changu kilikuwa jibondo, jibondo mwenyew nilipabatiza Jina Jamaica, hko hakuna kwere wkt ule huko serikali haifiki mnafanya lolote
Basi Kaz kaz, Kuna askari mmoja wa doria anaitwa abdala kifua alikuwa maarufu huko na mbabe
Ila mziki huu alizima fegi.... Nlikamiwa sana
Sema nlikuwa Naishi double impact [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwez nipata kiboya
Za mwiz arobaini nkanasa kwenye operation ilifanyika hko hyo mpaka jeshi navy Ndani ndy tukangolewaaa.... Nkasota wiiki 3 ndan hko
Nkafanya michezo kesi ikahamishiwa dar nkachomokaa
Ila niilipoteza kila kitu ilaa freshhhhh.... Maisha yaliendeleaaa
Ova
Pole bna
As long upo hai utarudisha mara mia