uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Wanaojiuza wapo, you tube niliona Millard ayo akiwahoji, wakawa wanatoa na madau yao, mkia na mbeleKuna ushirikina huko balaa,hata ukiwa na shida na mwanamke hupati labda utoke nae Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaojiuza wapo, you tube niliona Millard ayo akiwahoji, wakawa wanatoa na madau yao, mkia na mbeleKuna ushirikina huko balaa,hata ukiwa na shida na mwanamke hupati labda utoke nae Dar
Mie Kama CCM itapita nitaondoka tu mazima hapa nchini. Usiache kunisaidia ukifika huko nipe tu mchoroNinavyojua mayote mpaka upite comoro ,na unaweza toboa mpaka ufaransa,mwenzi ujao nafanya mpango niingie comoro,details zaidi nitazipata
ShukraniUkitaka adventure, tumia usafiri wa boti au mashua lakini kama muoga wa bahari, tumia usafiri wa ndege ambao haupo adventorous at all!!
REMEMBER, boti za kwenda Mafia sio kama zile boti za kishua ziendazo Unguja ambazo you feel just litlle adventure ukitoa tu ile kwamba unasafiri mchana na ku-enjoy ocean view!
I love Mafia kwa kweli! Sijaenda kitambo but mwaka huu itabidi niende huko.Umenikumbusha huko Mafia... Jojo, Jibondo Chole... Eeeh
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Ukianza safari ya Comoro nishtueNinavyojua mayote mpaka upite comoro ,na unaweza toboa mpaka ufaransa,mwenzi ujao nafanya mpango niingie comoro,details zaidi nitazipata
Hahhaaa SEMA ulishindwa kutongoza tu mkuu..hivi inakuaje unakosa kabisa mwanamke jamani..!!Kuna ushirikina huko balaa,hata ukiwa55 shida na mwanamke hupati labda utoke nae Dar
Me too, ni pazuri sana.... Yaani kwa kweli hata mie I'm missing the islandI love Mafia kwa kweli! Sijaenda kitambo but mwaka huu itabidi niende huko.
Nipo Simiyu
Hahahahhahha...uchumi wa Kati kwioTutakuja tu mkuu na hivi tupo uchumi wa kati😒😒
Hahaha poa, jiandae,tutoboe mpaka Paris,tunaenda kule maji yanapotupelekaMie Kama CCM itapita nitaondoka tu mazima hapa nchini. Usiache kunisaidia ukifika huko nipe tu mchoro
Poa poa,mkuu andaa gunia za magimbi viazi na vitunguuUkianza safari ya Comoro nishtue
SIO KWELI!Kuna ushirikina huko balaa,hata ukiwa na shida na mwanamke hupati labda utoke nae Dar
Nmekaa sana jibondo kisiwani hpoDah...Kuna some places nzuri hata Kama una stress zinakata kabisa!kwakweli dah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!
Dilek njoo hapa...
Kila unaemuona anamilikiwa na mtu mkuuHahhaaa SEMA ulishindwa kutongoza tu mkuu..hivi inakuaje unakosa kabisa mwanamke jamani..!!
Mafia pako poa sana, and I really miss those old days! Tena ndo vile nilikuwa na ushikaji na watu wa Marine Park, kuna siku mshikaji mmoja akanipa offer ya kwenda kufanya boating kwa kutumia boats zenye kioo kwa chini!Me too, ni pazuri sana.... Yaani kwa kweli hata mie I'm missing the island
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app