Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Ukitaka adventure, tumia usafiri wa boti au mashua lakini kama muoga wa bahari, tumia usafiri wa ndege ambao haupo adventorous at all!!

REMEMBER, boti za kwenda Mafia sio kama zile boti za kishua ziendazo Unguja ambazo you feel just litlle adventure ukitoa tu ile kwamba unasafiri mchana na ku-enjoy ocean view!
Shukrani
 
Karibuni mafia
FB_IMG_15988737372943041.jpg
View attachment 1554262View attachment 1554263View attachment 1554264
 
Dah...Kuna some places nzuri hata Kama una stress zinakata kabisa!kwakweli dah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!
Dilek njoo hapa...
Nmekaa sana jibondo kisiwani hpo
Bata nlikuwa nakula hapo kinasi Beach... Bia ndy nilikuwa nazitwanga
Sema hapo nilika lupango wiki 3... Mafia yte nkaichukiaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila, nawamiss watu wangu wa jibondo

Ova
 
Me too, ni pazuri sana.... Yaani kwa kweli hata mie I'm missing the island

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Mafia pako poa sana, and I really miss those old days! Tena ndo vile nilikuwa na ushikaji na watu wa Marine Park, kuna siku mshikaji mmoja akanipa offer ya kwenda kufanya boating kwa kutumia boats zenye kioo kwa chini!

It's a very amazing experience!
 
Back
Top Bottom