Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Mkuu naona umejaza mapichapicha tu.

Ungetueleza japo kwa uchache;

»mtu anafikaje huko
»nauli zipoje
»makazi yakoje mtu akifika huko
»muda mzuri wa kwenda ni upi
»fursa zilizopo n.k

BTW kuna mtu aliuliza kwanini Mafia haipo Zanzibar?
We upo wapi
 
Tatizo ule uzi wako wa Bahari hujautendea haki.
Tutakaribia.
 
Nmekaa sana jibondo kisiwani hpo
Bata nlikuwa nakula hapo kinasi Beach... Bia ndy nilikuwa nazitwanga
Sema hapo nilika lupango wiki 3... Mafia yte nkaichukiaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila, nawamiss watu wangu wa jibondo

Ova
[emoji23] pole sana Mrangi wa Pahi-Kondoa,karibu tena Mafia,Kilwa na Rufiji.Hakika utafarijika sana. #WanaPwaniWakarimu!
 
Kwahiyo mzee nikifika pale Bungu-kibiti nile chocho na ile njia ya msimbati kama sijakosea jina halafu nichukue boti ya mafia.!
 
Huko Mafia nasikia kuna kisiwa kimeuzwa kwa tajiri mmoja kutoka Sweden; amejenga hotel huko ambayo ni watu wachache sana duniani wanaweza kumudu bei zake!! Hata JIWE hajawahi kufika huko na pengine hajawahi kuisikia resort hiyo ingawa kisiwa kiko Tanzania!!!

THANDA LUXURIOUS PRIVATE ISLAND!!
Sema suu jiwe hajafika hicho kisiwa?
 
Unapanda gari mbagala ambayo inaelekea nyamisati nauli take 5500 ukifika nyamisati bei ya nauli kufika mafia 21000
Mzee huko nishapita zaidi ya mara 5..Mafia nakuja sana...ila hiyo njia siyo rafiki aisee...zile ngalawa haziaminiki na zinajaza sana abilia... Nshakuta imekua overcarriage zaidi watu 100...ntasubiri magufuri anamalizia meli tukapandie feri kama bakhresa
 
mzee huko nishapita zaidi ya mara 5..Mafia nakuja sana...ila hiyo njia siyo rafiki aisee...zile ngalawa haziaminiki na zinajaza sana abilia...nshakuta imekua overcarriage zaidi watu 100...ntasubiri magufuri anamalizia meli tukapandie feri kama bakhresa
Meli ipo kitambo tu
 
Hahhaaha umenikumbusha unajua kule mboga za majani ni anasa kipind kile.. Ndio maana anemia ilikuwa juu Sanaa...

Yaani maisha kule ni wali samaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Ulimaji ni mdogo, ila samaki dahhh
Unakula mpk jasho lako linanuka samaki

Ova
 
[emoji23] pole sana Mrangi wa Pahi-Kondoa,karibu tena Mafia,Kilwa na Rufiji.Hakika utafarijika sana. #WanaPwaniWakarimu!
Ah watu siku zote sehemu yyt sinaga shida nao
Ila hku nlitakaga kurudi kwenye Kazi ya pweza
Maana pweza wengi sana huko, kna Wakat nko hko nlikuwa natuma sana makoki ya pweza feri Sema walikuwa wananopiga nkaachana nao
Nkapataga wasomali fulani walikuwa pugu road
Walikuwa na kampuni yao inaitwa Asmara, walikuwa wanataka nunua pweza na ku export nje ila badaye mambo yao yakaingiliana, wa kaondoka bongo
Mchongo wa kurudi tena mafia ukafa

Ova
 
Back
Top Bottom