Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

mzee huko nishapita zaidi ya mara 5..Mafia nakuja sana...ila hiyo njia siyo rafiki aisee...zile ngalawa haziaminiki na zinajaza sana abilia...nshakuta imekua overcarriage zaidi watu 100...ntasubiri magufuri anamalizia meli tukapandie feri kama bakhresa
Kuna boti ilikuwa inaitwa mv potwe dah kila safari ni balaaa tu
Nyingine ilikuwa inaitwa jubini,
Ila bora Sahv mafia wamewekewa gati maana zamani boti zikifika mafia, zinakuja tena boti ndogo mitumbwi.... Kuwachukua watu Yaani mafia ilikuwa ukifika lazima uyakoge maji
Ila vichwa ngumu kaama sisi tukifika basi tunajitupa
Baharini kuogelea mpaka nchi kavu

Ova
 
Thubutu,
Meli zinazo kwenda huko Ni MV Canadian Sprit, Bandari hakuna, Abiria mmojammoja unashushiwa Baharini kutumia ngazi ya kawaida kuingia kwenye mitumbwi midogo ambayo iko chini ya meli, kama unavoshuka toka juu ya Fuso, na kuingia kwenye bajaji kwa kutumia ngazi ya fundi ujenzi, rahisi kuteleza! sikiaga tu.

Mafia sina hamu!
 
Hiyo ngazi hata mm kidg siku moja nichanike msamba..hahahhaa...kitu cha ngazi ya chumq dadek
 
Wasalimie Kilindoni, Jibondo, Kichangachui, Utende na Chole! Salamu za kipekee ziwafikie Ismailia na Usewe yaliko majiko yangu mazuri yenye rangi rangi!!

Acha mwisho wa mwaka nije huko!!
Usisahau kunibeba na mimi
 
Thubutu,
Meli zinazo kwenda huko Ni MV Canadian Sprit, Bandari hakuna, Abiria mmojammoja unashushiwa Baharini kutumia ngazi ya kawaida kuingia kwenye mitumbwi midogo ambayo iko chini ya meli, kama unavoshuka toka juu ya Fuso, na kuingia kwenye bajaji kwa kutumia ngazi ya fundi ujenzi, rahisi kuteleza! sikiaga tu.

Mafia sina hamu!
Unayoisema ww sio mafia
 
Ile chemchem ya maji yasio chumvi pembeni ya bahari bado ipo
 
Kuna Beach resort moja matata sana sjui bd ipo
Inaitwa, kinasi pale pako freshhhhh
Kabla sijavuka kutoka kilindoni kwenda jibondo
Lazima Nile pipi pale......

Ova
Nipo mwanza, naanza ile mission.. mtu lazima apatikane 😃😃😃
 
Back
Top Bottom