mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hivi bado mmbuu wako hapo nyamisatiNjia ya nyamisati
Maana syo kwa mmbu wale
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bado mmbuu wako hapo nyamisatiNjia ya nyamisati
Nyagi ndy inachangamsha ubongo maana nafikiriHahhhahahahah......we gonga tu nyagi mkuu hakuna namna
Kuna boti ilikuwa inaitwa mv potwe dah kila safari ni balaaa tumzee huko nishapita zaidi ya mara 5..Mafia nakuja sana...ila hiyo njia siyo rafiki aisee...zile ngalawa haziaminiki na zinajaza sana abilia...nshakuta imekua overcarriage zaidi watu 100...ntasubiri magufuri anamalizia meli tukapandie feri kama bakhresa
Mimi nimekua addicted na coca aisee..nisipokunywa nakuaga siwez fikiria vyema..inanitesa hii Hali balaaNyagi ndy inachangamsha ubongo maana nafikiri
Faster sanaaaa
Ova
Thubutu,
Meli zinazo kwenda huko Ni MV Canadian Sprit, Bandari hakuna, Abiria mmojammoja unashushiwa Baharini kutumia ngazi ya kawaida kuingia kwenye mitumbwi midogo ambayo iko chini ya meli, kama unavoshuka toka juu ya Fuso, na kuingia kwenye bajaji kwa kutumia ngazi ya fundi ujenzi, rahisi kuteleza! sikiaga tu.
Mafia sina hamu!
Coca Ina kilevi fulani kwa mbariiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimekua addicted na coca aisee..nisipokunywa nakuaga siwez fikiria vyema..inanitesa hii Hali balaa
Ewaaa.. caffeine sijui coce .watajuaa wenyewe..yaan naipigaga huku natetemka..dahCoca Ina kilevi fulani kwa mbariiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Usisahau kunibeba na mimiWasalimie Kilindoni, Jibondo, Kichangachui, Utende na Chole! Salamu za kipekee ziwafikie Ismailia na Usewe yaliko majiko yangu mazuri yenye rangi rangi!!
Acha mwisho wa mwaka nije huko!!
Hakikisheni mmepiga kura kabla ya kuondokaNdege hatutaenjoy ..twende na boat naskia Sasa hivi Kuna boat sijui meli.mie usafiri wa maji nimeshazoea siogopi. ...twende 28th oct
🤣🤣🤣🙌Mie nna hasira watanitoa kwenye line tu wanitupe lupango..Bora nikashinde beach hukooHakikisheni mmepiga kura kabla ya kuondoka
Unayoisema ww sio mafiaThubutu,
Meli zinazo kwenda huko Ni MV Canadian Sprit, Bandari hakuna, Abiria mmojammoja unashushiwa Baharini kutumia ngazi ya kawaida kuingia kwenye mitumbwi midogo ambayo iko chini ya meli, kama unavoshuka toka juu ya Fuso, na kuingia kwenye bajaji kwa kutumia ngazi ya fundi ujenzi, rahisi kuteleza! sikiaga tu.
Mafia sina hamu!
Wengine tukila samaki inakuwa kama power bank, mwili unawaka moto, ikipita sketi yaani ni taabu 🙃🙃🙃Mtu anayekula Sana samaki huwa Wana upeo mkubwa Sana wa akili! Naamini uko hivyo!..
Wengine tukila samaki inakuwa kama power bank, mwili unawaka moto, ikipita sketi yaani ni taabu 🙃🙃🙃
Kuna Beach resort moja matata sana sjui bd ipoHiyo ngazi hata mm kidg siku moja nichanike msamba..hahahhaa...kitu cha ngazi ya chumq dadek
Nipo mwanza, naanza ile mission.. mtu lazima apatikane 😃😃😃Kuna Beach resort moja matata sana sjui bd ipo
Inaitwa, kinasi pale pako freshhhhh
Kabla sijavuka kutoka kilindoni kwenda jibondo
Lazima Nile pipi pale......
Ova