Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Kutoka zenji sijui,ila kutokea dar kwa meli laki mbili mpaka laki ,ukielewa na agent vizuri ata bure unaweza pakia ukiwa na connection.kwa ndege laki Saba mpaka milioni 1 go and return,nauli huwa zinabadilika badilika

Ahsante mkuu, huwa natamani kwenda Morocco gharama zimenishinda, ila kwakuwa umenambia Comoro ni cheap hivyo, nitaandaa laki 8 hivi nadhani itatosha kwenda na kurudi pamoja na accommodations nikiwa huko.
 
Hii nayo ni sehemu ya Tanzania..?

Huko Mafia nasikia kuna kisiwa kimeuzwa kwa tajiri mmoja kutoka Sweden; amejenga hotel huko ambayo ni watu wachache sana duniani wanaweza kumudu bei zake!! Hata JIWE hajawahi kufika huko na pengine hajawahi kuisikia resort hiyo ingawa kisiwa kiko Tanzania!!!

THANDA LUXURIOUS PRIVATE ISLAND!!
 
ahsante mkuu,huwa natamani kwenda Morocco gharama zimenishinda ,ila kwakua umenambia Comoro ni cheap hivo,nitaandaa laki 8 hivi nadhani itatosha kwenda na kurudi pamoja na accommodations nikiwa huko.
Gharama lodge kule ni kubwa, kama hauna pakufikia hiyo laki nane hautoboi hata wiki, ushauri kwa hiyo laki nane, nenda na hata gunia nne za vitunguu, hapo utauzia hapo hapo bandarini ukiwa unashuka, watavigombania na utapata faida kubwa, ule bata ukimaliza beba pweza au simu rudi nazo kuuza bongo, usirudi mikono mitupu. Napo utapata faida nzuri. Kwa hiyo unakula Bata na kupata faida
 
Njooni mafia
FB_IMG_15988829779671352.jpg
FB_IMG_15988827041871033.jpg
FB_IMG_15988828658045454.jpg
FB_IMG_15988745508317380.jpg
 
Back
Top Bottom