Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na wasiwasi mkuu,hicho kitoweo kiko safi kabisa Wahadzabe wanakulaga mizoga bila hata wasiwasi kwa makumi ya maelfu ya miaka.mie mewaza kiafya kubeba wale wanyama kwenye lori kwa namna ile ni sawa? pia hata walivyowekwa hapo chini hivyo.
Ingalikuwa vyema kuwachukua wazee na vijana wa kabila hilo, kwenda nao sehemu walipowinda na kila anayeuliwa anatolewa ngozi na kuwaandaa vizuri
Hamna ni wanaume wenye msimamo haoSio rushwa hii?
Mbona matakwa yao mengine umeruka? Ili ufanikiwe kuwashawishi Wahadzabe shurti uwape nya ya nyani na bangi.View attachment 2331714Na John Walter-Manyara
Serikali ya Tanzania imetoa wanyamapori 20 aina ya Nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ikiwa ni sehemu ya takwa lao ili wawe tayari kushiriki zoezi la Sensa linaloanza usiku wa kuamkia Agosti 23 hadi Agosti 31 mwaka huu.
Sensa ya mwaka huu inafanyika kwa mara ya sita ambapo hufanyika kila baada ya miaka kumi.
Jamii ya Wahadzabe ni miongoni mwa makabila machache nchini Tanzania yanayoendeleza mila na desturi wakiishi Zaidi kwa kutumia uwindaji na kuokota matunda ambapo katika matukio muhimu ya serikali hulazimika kutumia mbinu mbadala ili kuweza kuwaweka pamoja na kuhudumiwa.
Mkuu wa mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere akikabidhi nyama hiyo kwa Wahadzabe katika kijiji cha Mongowa Mono amesema serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kupata idadi kamili ya wananchi wote katika maeneo yote nchini ili kuweza kupeleka huduma za kijamii kulingana na idadi ya watu.
Hata hivyo jamii hiyo ya wawindaji licha ya kuishukuru serikali kwa kuwapatia nyama hiyo,wameiomba serikali iwapatie ndege aina ya Mbuni kwa madai kuwa wanatumia Manyoya yake kwa ajili ya dawa na matambiko yao.
Kwa kuonyesha kufurahishwa kwao,Wahadzabe hao wamempa zawadi ya asali lita 20 mkuu wa mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere na lita 10 mkuu wa wilaya ya Mbulu Sezaria Makotha.

Yani serikali inahalalisha kuua wanjamapori
Kweli haya majamaa akili hayana
Alieripoti hii habari kuna taarifa ameziruka,sijajua amefanya hivyo kwa maslahi ya nan?,wahadzabe bangi kwao ndio kipaumbeleMbona matakwa yao mengine umeruka? Ili ufanikiwe kuwashawishi Wahadzabe shurti uwape nya ya nyani na bangi.
Pengine mnaogopa kuripoti kwa kuwa itaonekana Serikali imehalalisha uvutaji bangi
Matumizi mabaya ya rasilimali.View attachment 2332294
Serikali ya Tanzania imetoa wanyamapori 20 aina ya Nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ikiwa ni sehemu ya takwa lao ili wawe tayari kushiriki zoezi la Sensa linaloanza usiku wa kuamkia Agosti 23 hadi Agosti 31 mwaka huu
Pia wamempongeza Rais Samia kwa filamu ya Tanzania Royal Tour ambayo imechochea ongezeko la Watalii,ambapo na wao wananufaika.
Leo ni ile siku tuliyokua tunaisubiri kwa hamu tupate idadi yetu watanzania wote ili tuletewe maendeleo kulingana na idadi zetu sensa ni kwa maendeleo ya jamii jitokeze kuhesabiwa
Sio matumizi mabaya tunatofautiana imani kama unavyowaona bado wanazama za kale kwaiyo wamefanya ivo ili kuwakusanya pamoja Serikali ya awamu ya sita haitumii nguvu inatumia akiliMatumizi mabaya ya rasilimali.
Ni sababu moja wapo ya sensa ili wajue wapo wangapi wawapelekee mahitaji muhimu waanze kuishi kisasa kama wamasai uko msomeraVema sana,wakishawahesabu wawapelekee huduma zingine za kijamii, iyo jamii bado wapo zama za kale.
hahahha wambie wafanye kazi iliyowaletaWakati huku makarani wanatuomba chai
Hahaaaaaaaa!sijui kwanin nimecheka aseeHao Wahadzabe kiboko, filamu ya Royal Tour wameiona wakati huku mjini kuna watu hata hawajaiona
Akili za kifisadi hizo kama miundo mbinu kwao ingekuwa mizuri hakuna mtu ambaye angebaki na zama za kale.Sio matumizi mabaya tunatofautiana imani kama unavyowaona bado wanazama za kale kwaiyo wamefanya ivo ili kuwakusanya pamoja Serikali ya awamu ya sita haitumii nguvu inatumia akili
Nasikiaga wakilaga nyama wanapigaga na sigara KUBWA....View attachment 2331714
Na John Walter-Manyara
Serikali ya Tanzania imetoa wanyamapori 20 aina ya Nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ikiwa ni sehemu ya takwa lao ili wawe tayari kushiriki zoezi la Sensa linaloanza usiku wa kuamkia Agosti 23 hadi Agosti 31 mwaka huu.
Sensa ya mwaka huu inafanyika kwa mara ya sita ambapo hufanyika kila baada ya miaka kumi.
Jamii ya Wahadzabe ni miongoni mwa makabila machache nchini Tanzania yanayoendeleza mila na desturi wakiishi Zaidi kwa kutumia uwindaji na kuokota matunda ambapo katika matukio muhimu ya serikali hulazimika kutumia mbinu mbadala ili kuweza kuwaweka pamoja na kuhudumiwa.
Mkuu wa mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere akikabidhi nyama hiyo kwa Wahadzabe katika kijiji cha Mongowa Mono amesema serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kupata idadi kamili ya wananchi wote katika maeneo yote nchini ili kuweza kupeleka huduma za kijamii kulingana na idadi ya watu.
Hata hivyo jamii hiyo ya wawindaji licha ya kuishukuru serikali kwa kuwapatia nyama hiyo,wameiomba serikali iwapatie ndege aina ya Mbuni kwa madai kuwa wanatumia Manyoya yake kwa ajili ya dawa na matambiko yao.
Kwa kuonyesha kufurahishwa kwao, Wahadzabe hao wamempa zawadi ya asali lita 20 mkuu wa mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere na lita 10 mkuu wa wilaya ya Mbulu Sezaria Makotha.