Nyumbu 20 waangushwa kuwanasa Wahadzabe kuhesabiwa

Usiwe na wasiwasi mkuu,hicho kitoweo kiko safi kabisa Wahadzabe wanakulaga mizoga bila hata wasiwasi kwa makumi ya maelfu ya miaka.
 
Mbona matakwa yao mengine umeruka? Ili ufanikiwe kuwashawishi Wahadzabe shurti uwape nya ya nyani na bangi.

Pengine mnaogopa kuripoti kwa kuwa itaonekana Serikali imehalalisha uvutaji bangi
 
Alieripoti hii habari kuna taarifa ameziruka,sijajua amefanya hivyo kwa maslahi ya nan?,wahadzabe bangi kwao ndio kipaumbele

"Pengine mnaogopa kuripoti kwa kuwa itaonekana Serikali imehalalisha uvutaji bangi"
 
Serikali ya Tanzania imetoa wanyamapori 20 aina ya Nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ikiwa ni sehemu ya takwa lao ili wawe tayari kushiriki zoezi la Sensa linaloanza usiku wa kuamkia Agosti 23 hadi Agosti 31 mwaka huu

Pia wamempongeza Rais Samia kwa filamu ya Tanzania Royal Tour ambayo imechochea ongezeko la Watalii,ambapo na wao wananufaika.

Leo ni ile siku tuliyokua tunaisubiri kwa hamu tupate idadi yetu watanzania wote ili tuletewe maendeleo kulingana na idadi zetu sensa ni kwa maendeleo ya jamii jitokeze kuhesabiwa
 
Matumizi mabaya ya rasilimali.
 
Sio matumizi mabaya tunatofautiana imani kama unavyowaona bado wanazama za kale kwaiyo wamefanya ivo ili kuwakusanya pamoja Serikali ya awamu ya sita haitumii nguvu inatumia akili
Akili za kifisadi hizo kama miundo mbinu kwao ingekuwa mizuri hakuna mtu ambaye angebaki na zama za kale.
 
Nasikiaga wakilaga nyama wanapigaga na sigara KUBWA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…