Nyumbu 20 waangushwa kuwanasa Wahadzabe kuhesabiwa

Akili za kifisadi hizo kama miundo mbinu kwao ingekuwa mizuri hakuna mtu ambaye angebaki na zama za kale.
Huu ni utawala mwingine kwaiyo lazima maendeleo wapelekewe hiyo ndo faida moja wapo ya kuhesabiwa
 
Sensa iliyopita walihesabiwa Tena,hakuna huduma wamepata
Huu ni utawala mwingine wa Rais Samia Sauluhu Rais mwenye maono makubwa baada tya sensa kila sehemu isio kua na maendeleo lazima ipelekewe kulingana na idadi yao
 
Tuwekeeni basi hizo picha
 
Tatizo watanzania kila myu ni mtaalam hao wenyewe ata kwa kuwaangalia tu maisha yao ni ya kuwinda kwaiyo hizo nyama kawaida sana
 
Hao jamaa siyo sensa hii tu. Hata Ile iliyopita ya mwaka 2012 pia waliweka sharti hilo hilo la kupewa nyama pori ili wahesabiwe. Ni kama vile Kila ikitokea shughuli ya serikali inayo wahusu wao pia ni lazima waweke sharti hilo ili washiriki.
Ahahaha na. Ss tungeweka shart la kuondoa moja ya tozo zizazokera ili tuhesabiwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hkn kitu Kama hcho eti waandae vzr wao wanajuwa namna ya kwaandaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo watanzania kila myu ni mtaalam hao wenyewe ata kwa kuwaangalia tu maisha yao ni ya kuwinda kwaiyo hizo nyama kawaida sana
Mbona wavuvi hawajapewa samaki????Wachimba madini hawajapewa dhahabu au almas???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…