King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ban mbaya usiombee,nilipigwa ya wiki mbili 😀😀😀😀.Hongera mkuu. Mimi enzi hizo simu nilikuwa naona kwa baba na mama tu.
Chaajabu saizi mdogo wangu wa miaka mitano anachezea simu na computer kuzidi watu wazima humu.
Imagine dogo anajua ku download cartoon and anime torrents kabisa wakati kuna wakubwa humu wanakujaga kuomba series.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi mkuu ban ina ladha gani?
Hongera sana comrade....[emoji123]
Safi
Ban dahh!! ni mbaya sana " kama upo addicted na Jf ukipigwa ban utajihisi kuwa umepelekwa kuzimuHongera mkuu. Mimi enzi hizo simu nilikuwa naona kwa baba na mama tu.
Chaajabu saizi mdogo wangu wa miaka mitano anachezea simu na computer kuzidi watu wazima humu.
Imagine dogo anajua ku download cartoon and anime torrents kabisa wakati kuna wakubwa humu wanakujaga kuomba series.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi mkuu ban ina ladha gani?
Kware heshima yako bossNaishukuru jf
Imenpatia demu
Ukware uliutumia vyemaHahaaa
Kwa nn mkuu
Kwahiyo Baba na Mama wapo humu?Hongera mkuu. Mimi enzi hizo simu nilikuwa naona kwa baba na mama tu.