Nyundo 8 ndani ya JF.

Nyundo 8 ndani ya JF.

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia kwenu wana JF,

Leo nimetimiza miaka mi8 tangu nijiunge ramsi ndani ya JF na miaka 10 tangu kuijua JF,shukrani kwa members wenzangu,mods kwa ushirikiano wenu,Nimekula ban mara moja tu siyo ya kukwaruzana na mtu bali kwa kuweka picha moja kwenye thread nne tofauti(Nadhani Mods walichukulia kama SPAM). Pamoja sana!!!

Wenu katika Ujenzi wa Taifa.

From MINJINGU.
 
Hongera mkuu. Mimi enzi hizo simu nilikuwa naona kwa baba na mama tu.

Chaajabu saizi mdogo wangu wa miaka mitano anachezea simu na computer kuzidi watu wazima humu.

Imagine dogo anajua ku download cartoon and anime torrents kabisa wakati kuna wakubwa humu wanakujaga kuomba series.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hivi mkuu ban ina ladha gani?
 
Ban mbaya usiombee,nilipigwa ya wiki mbili 😀😀😀😀.
 
Hongera mkuu. Mimi enzi hizo simu nilikuwa naona kwa baba na mama tu.

Chaajabu saizi mdogo wangu wa miaka mitano anachezea simu na computer kuzidi watu wazima humu.

Imagine dogo anajua ku download cartoon and anime torrents kabisa wakati kuna wakubwa humu wanakujaga kuomba series.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hivi mkuu ban ina ladha gani?
Ban dahh!! ni mbaya sana " kama upo addicted na Jf ukipigwa ban utajihisi kuwa umepelekwa kuzimu
 
Happy birthday to u ndo inakufaaa..mm niliijua 2011 ila nilikuwa sina wazo la kujiunga nilikuwa mshamba mshamba tyuuu....-nilikuwa busy na tweete na insta ila nilipoachana na hiyo mitandao mwaka huuu ndo nikaona jf inafumbua macho sana kuliko ig inadanganya na uhalisia... Happy birthday to u🍻
 
Hongera mkuu. Mimi enzi hizo simu nilikuwa naona kwa baba na mama tu.

Chaajabu saizi mdogo wangu wa miaka mitano anachezea simu na computer kuzidi watu wazima humu.

Imagine dogo anajua ku download cartoon and anime torrents kabisa wakati kuna wakubwa humu wanakujaga kuomba series.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hivi mkuu ban ina ladha gani?
Kwahiyo Baba na Mama wapo humu?
 
Back
Top Bottom