Nyundo na wenzie wako gereza gani tukawatembelee?

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana.

Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo uraiani tangia juzi!

Kama ni kweli, hii inaonesha kuna janjajanja zimefanyika.
 
Mkuu, umethibitishaje wewe binafsi isije ikawa rumours tu alafu ukaja kuzua taharuki huku JF utakua unatukosea Heshima
 
Mkuu, umethibitshaje wewe binafsi isije ikawa rumours tu alafu ukaja kuzua taharuki huku JF
Hiyo ni uhakika ni yeye ameingia hapa mtaani tangia juzi na Leo ameonekana neio maana nikaleta huu Uzi na najua utafutwa
 
Kama huna uthibitisho ni sahihi admins waki delete hii thread
Unataka uthibitisho Gani kama huniamini basi Mimi silipwi hivyo hata wakidelete ni hiari yao hawanipunguzii kitu
 
Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana.

Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo uraiani tangia juzi!

Kama ni kweli, hii inaonesha kuna janjajanja zimefanyika.
Hata mimi nilijua tu itakuwa hivo
 
Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana.

Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo uraiani tangia juzi!

Kama ni kweli, hii inaonesha kuna janjajanja zimefanyika.
Sio rahisi hivyo msichukulie baadhi ya issue simple..
 
Back
Top Bottom