Nyundo na wenzie wako gereza gani tukawatembelee?

Nyundo na wenzie wako gereza gani tukawatembelee?

Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana.

Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo uraiani tangia juzi!

Kama ni kweli, hii inaonesha kuna janjajanja zimefanyika.

Kwa kuwa taarifa uliyo toazinaweza kuleta mtafaruku kwenye jamii, nafikiri ungepata kwanza ushahidi ndio upost;

Si unajua kizazi hiki, chochote kinacho andikiwa wao wana dandia na kuhukumu.
 
Rubbish,sio rahisi kiivyo,atoke ajionyeshe mapema hii,unatuonaje aisee
 
Nenda Dodoma fanya kosa la jinai utapata ticket ya kuingia mahabusu Gereza la Isanga utawakuta huko, maana bado hawajahamishwa gereza kama ilivyokua kawaida ya wafungwa wa muda mrefu kuhamishwa hamishwa magereza
 
Ndo maana serikalini imepiga marufuku watu kula mchele mbichi
 
Mkuu hakuna kitu kama hicho , Acheni uzushi na kutuletea Taharuki
 
Back
Top Bottom