Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana.
Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo uraiani tangia juzi!
Kama ni kweli, hii inaonesha kuna janjajanja zimefanyika.
Umemuona mtaa gani mkuuHiyo ni uhakika ni yeye ameingia hapa mtaani tangia juzi na Leo ameonekana neio maana nikaleta huu Uzi na najua utafutwa
Bado hujui chochote huu uzi ni udaku kama udaku mwingine.Niliwaambia mkanitukana kwamba sijui sheria
Oya Kiongozi, usimpige picha mambo yakakugeukia. We wasondeshee Wanasheria wadeal naye huku ukijifanya hujui lolote linaloendelea.Ngoja nikikutana nae nitampiga mkuu now nipo job
Bado hujaamini tu?Bado hujui chochote huu uzi ni udaku kama udaku mwingine.
kuwa makiniWatu wanabisha ngoja nikitoka job nikimuona tena nitampiga picha