Nyuzi 3 ninazozichukia hapa JF

sio lazima uwe unazipitia mkuu kuna majukwaa mengi sana jf, sio chitchat peke yake kama hizo zinakukera soma nyengine mkuu
Yuko huru kuongea chochote mradi hakuvunja sheria, ni maoni yake katoa, vinginevyo hayo maoni uliyompa ungeanza wewe kuyafanyia kazi....
 
Za asubuhi? Habari ni Aung na Trump leo kila kona. Uliisikiliza speech yake? Kama vichaa yule angekuja apelekwe Mirembe. Mugabe alibaki ameinama naona aliogopa kutajwa kama wenzie.
 
Sasa mkuu badala ya kudiscuss mustakabadhi wa nchi yetu tunadiscuss namna ya kupeana likes au wa mwisho ndo mshindi??![emoji32][emoji32][emoji32].......hii ni haki kweli???
Hizo nyuzi ni namna ya kupunguza stress joh, japo bongo bahat mbaya ila tuvunge kwa hzo nyuz
 
Sio mbaya bt zifichwe chini chini huko sio ukifungua tuu hilo paap...aah sio ishu..
 
Yuko huru kuongea chochote mradi hakuvunja sheria, ni maoni yake katoa, vinginevyo hayo maoni uliyompa ungeanza wewe kuyafanyia kazi....
maoni niliyompa binafsi nayafanyia kaz kama ulivyosema yuko huru kusema chochote basi hata me niko huru kuchangia nachotaka usinipangie!
 
makapuku
wa mwisho ndo mshind
uzi wakupeana likes
chauputa
saa nane za usiku
kubet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…