SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Yuko huru kuongea chochote mradi hakuvunja sheria, ni maoni yake katoa, vinginevyo hayo maoni uliyompa ungeanza wewe kuyafanyia kazi....sio lazima uwe unazipitia mkuu kuna majukwaa mengi sana jf, sio chitchat peke yake kama hizo zinakukera soma nyengine mkuu