Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

Tupee na ww story yako mkuu ,pia tutaisomaa tu km utawekaa chumvi nyingi ukaharibu ladhaa...
Mm ninazo nyingi sana sema siwezi kuandika sana yaani ni mvivu.
Mfano natamani niwahadithie "jinsi rafiki yangu wa muda mrefu alivyonitapeli hela za kununua mpunga morogoro na kunifanya nifirisiwe na bank😄"

Nyingine ni " Nilivyotapeli na network marketing mpaka kutishiwa na bastola ba kunifanya nikimbie Dar"

Ya mwisho "Ujana, makundi, na pesa nyingi zilivyonifanya nikamsahau mke wangu na familia yangu waliokuwa wananijali"

Na mwisho "Jinsi mtu niliyekuwa namdai alivyonichoresha kwa majambazi baada ya kunilipa hela zangu😔
 
How I met my wife.
Ni nzuri.
Story kali kabisa ni ya yule member ,aliyemsaidia mzungu aliyetekwa.
Na kwanzia siku hyo maish ya yalibadilika,mpk kufika kumuoa mtoto wa Mzungu n.k
Akiwa anaendelea na story yake bud lucky akafariki.
 
Watu wote wanayo ya kusimulia ila uandishi ni kipaji ila mpe voice note DeepPond atakufikishia stori zako
 
Nilivyo mvivu wa kusoma maandishi mengi at least paragraph 3 au 4 zikizidi hapo nasinzia
 
How I met my wife.
Ni nzuri.
Story kali kabisa ni ya yule member ,aliyemsaidia mzungu aliyetekwa.
Na kwanzia siku hyo maish ya yalibadilika,mpk kufika kumuoa mtoto wa Mzungu n.k
Akiwa anaendelea na story yake bud lucky akafariki.
Aiseee hii itakuwa nzuri sana mngetag hapa chini ili iwe rahisi wadau kuiona
 
Habari wanaJF, ninaomba kwenye uzi huu mtume link za nyuzi zote za stori za kweli zilizowahi kubamba hapa JamiiForums

Mfano ile stori ya khumbu ya konda msafi, stori ya dereva Uber na mwanamke aliyebadilisha maisha yake n.k
"Raisi ambaye hakuchaguliwa alitokea marekani. Je itatokea Afrika?" Hii story ya kuogopesha sana hii
 
How I met my wife.
Ni nzuri.
Story kali kabisa ni ya yule member ,aliyemsaidia mzungu aliyetekwa.
Na kwanzia siku hyo maish ya yalibadilika,mpk kufika kumuoa mtoto wa Mzungu n.k
Akiwa anaendelea na story yake bud lucky akafariki.
Hajafariki yupo mbona kuna siku aliwahi kujibu comment
 
Huyo ni mwanae,na yy mwanae ndio alithibitisha kifo chake na baadhi ya members waliokuwa wameahidiwa kusaidiwa mitaji na Marehemu walithibitisha kupokea taarfa za msiba.
 
Back
Top Bottom