Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

Ukitaka kuona jf ni tamu kuwe na mwendelezo Kila siku.
 
Kuna stori pia ya majamaa yalipigana mikwara vibaya mno humu mpaka wakaamua wakutane tabata shule wazichape kavu kavu ,

Pambano likaisha ndani ya dakika mbili baada ya mmoja kumkodisha mcheza karate aende yeye alafu lijamaa lingine likaenda kichwa kichwa ,.

Alichezea makwenzi ya kichwa balaa balaa
 
Huyo ni mwanae,na yy mwanae ndio alithibitisha kifo chake na baadhi ya members waliokuwa wameahidiwa kusaidiwa mitaji na Marehemu walithibitisha kupokea taarfa za msiba.
Duh! Mungu amrehemu Kigakoyo
 
Back
Top Bottom