G
guest-1787677877
Guest
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya utani wa timu zetu ta ligi kuu wanazopost kwenye page tao za mitandao ya kijamii.
Wamepost Singida Big Stars.
"Laiti Katika Timu Yenu Angetokea Mtu Mmoja mwenye Hekima na Busara Akatuuliza kwa nini Tumekubali Kumuachia Top Score wetu Buure kwa Kumpa Mpinzani wetu Ambaye Tunagombea Vikombe vya Aina Moja
laiti Angejitokeza mmoja atuulize kwa Nini Tupo Tayari kumtoa Bure na sio kumuuza Elvis Baranga Rupia Laiti Mmoja wenu Angejiuliza kwa Nini Yanga sc waliachana Ghafla tu
Ngojeni niwaambie Ukweli ANA UTOVU WA NIDHAMU
Elewa Vema Neno NIDHAMU Kama Hauelewi Utafute mkono wake wa Kushoto uko Wapi na muandalie kwa Makini Budo Huko Usoni
Vya Bure Vina Gharama"
Shusheni nyuzi.