Nyuzi zilizomo humu(JF) zinatoa picha ya jamii nzima ipoje

Nyuzi zilizomo humu(JF) zinatoa picha ya jamii nzima ipoje

Watanzania wengi wanaume mada zao pendwa ni kugegeda(kula Mbususu), kubishana mpira hasa simba na yanga na mada za kumwagilia moyo.

Watanzania wengi wanawake mada zao pendwa ni fasheni mbalimbali, wasanii mbalimbali, waigizaji na wanamuziki.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Utafiti wako umeenda shule 😀
 
JF ni Kijiji flani kikubwa Cha vipofu wanaoongea ukweli kuhusu maisha Yao na jamii kiujumla
Lait kama wanakijiji hao wasigekua vipofu wangekua wanaonana na kujuana baaas humu pangekua kama insta tu yaan Kila mtu ana nyumba masaki ,mbezi na mbweni
Na wanabadilisha magari Mara g wagon, Rolls-Royce,range alafu nyuma ya keyboard kumbe ni mgombania daladala kajamba nani
Na daladala za bongo zinavyojaza watu yaan utafkiri wanakimbia vita.
But all in all asante CEO kwa idea hii ya JamiiForums kuficha ID zetu Ila wakanye mods waache mahaba yaan nyuzi wanazozipenda wao ndy wanaziacha Ila za kuhusu awamu ya siksi wanafuta na ban kama kifungashio.
#plutorepublic
 
Moderators watata sana
 
Pamoja ya kwamba tunaweza kujiona ni wachache humu kulinganisha na population nzima ya taifa.

Lakini nyuzi na maoni yaliyo jaa humu ni picha halisi ya namna jamii yetu ndani ya taifa letu ilivyo.

- Ni vitu gani jamii yetu ndani ya taifa letu inapenda kwa sana ?

- Ni vitu gani jamii haipendi kujihusisha navyo ?

- Jamii inauelewa gani kuhusu masuala mbalimbali ya muhimu ?

- Jamii haina uelewa kiasi gani kuhusu masuala ya muhimu ?

- Athari ya elimu inayo tolewa hapa nchini ina dhihirika kwa kiasi gani ?

- Ni vitu gani vinavyopewa kipaumbele kwa sana ndani ya jamii ?

- Ni vitu gani visivyopewa vipaumbele na jamii ?

Maswali haya na mengi zaidi majibu yake ni picha halisi ya jamii yetu ya Kitanzania kupitia JF namna ilivyo.
Umemaliza?Bado hujatujua vizuri.
 
Trap ile sio elimu.
Huwezi amini miaka yote uliyoenda Shule ulienda kujifunza namna ya kujifunza huko huendako, so kama ulivyosema bila kuvuka mipaka Huwezi kuwa yule unayetaka.
Ni vitu vingi sana vya muhimu havipo katika mfumo wetu wa elimu kwa makusudio maalumu ya CCM ndio maana majority ya Watanzania ni kama bado tupo usingizini
 
Back
Top Bottom