Nyuzi zilizomo humu(JF) zinatoa picha ya jamii nzima ipoje

Nyuzi zilizomo humu(JF) zinatoa picha ya jamii nzima ipoje

Ni vitu vingi sana vya muhimu havipo katika mfumo wetu wa elimu kwa makusudio maalumu ya CCM ndio maana majority ya Watanzania ni kama bado tupo usingizini
Mbatia alimkaba Koo Ndalichako. Amletee huo anao uita mtaala kile kimama bila aibu kikasema ni mkubwa mno.
Mbatia alimjibu ntaoipia hata winch ikibidi.....kwani alionekana.

Nawaangalia Hawa mafala kwa jicho baya sana.
 
Ni vitu vingi sana vya muhimu havipo katika mfumo wetu wa elimu kwa makusudio maalumu ya CCM ndio maana majority ya Watanzania ni kama bado tupo usingizini
Sio ccm Bali mazingira yetu. Uelewe waafrika hatuna hard life yaani tuna easy life mno.yaani ukiwa na alfu kumi unaweza ukaishi nayo ukala kwa msosi wa buku kwa karibia wiki.
 
Pamoja ya kwamba tunaweza kujiona ni wachache humu kulinganisha na population nzima ya taifa.

Lakini nyuzi na maoni yaliyo jaa humu ni picha halisi ya namna jamii yetu ndani ya taifa letu ilivyo.

- Ni vitu gani jamii yetu ndani ya taifa letu inapenda kwa sana ?

- Ni vitu gani jamii haipendi kujihusisha navyo ?

- Jamii inauelewa gani kuhusu masuala mbalimbali ya muhimu ?

- Jamii haina uelewa kiasi gani kuhusu masuala ya muhimu ?

- Athari ya elimu inayo tolewa hapa nchini ina dhihirika kwa kiasi gani ?

- Ni vitu gani vinavyopewa kipaumbele kwa sana ndani ya jamii ?

- Ni vitu gani visivyopewa vipaumbele na jamii ?

Maswali haya na mengi zaidi majibu yake ni picha halisi ya jamii yetu ya Kitanzania kupitia JF namna ilivyo.
Niliwshi kuandika humu yafanyike maboresho, lakini Mods hawakifurashwa kwani waliiondoa Post baada ya kudumu kwa midafupi.
 
Mbatia alimkaba Koo Ndalichako. Amletee huo anao uita mtaala kile kimama bila aibu kikasema ni mkubwa mno.
Mbatia alimjibu ntaoipia hata winch ikibidi.....kwani alionekana.

Nawaangalia Hawa mafala kwa jicho baya sana.
Wanakera sana
 
Sio ccm Bali mazingira yetu. Uelewe waafrika hatuna hard life yaani tuna easy life mno.yaani ukiwa na alfu kumi unaweza ukaishi nayo ukala kwa msosi wa buku kwa karibia wiki.
Daaah!😀
 
Back
Top Bottom