Nyuzi zilizomo humu(JF) zinatoa picha ya jamii nzima ipoje

Utafiti wako umeenda shule 😀
 
JF ni Kijiji flani kikubwa Cha vipofu wanaoongea ukweli kuhusu maisha Yao na jamii kiujumla
Lait kama wanakijiji hao wasigekua vipofu wangekua wanaonana na kujuana baaas humu pangekua kama insta tu yaan Kila mtu ana nyumba masaki ,mbezi na mbweni
Na wanabadilisha magari Mara g wagon, Rolls-Royce,range alafu nyuma ya keyboard kumbe ni mgombania daladala kajamba nani
Na daladala za bongo zinavyojaza watu yaan utafkiri wanakimbia vita.
But all in all asante CEO kwa idea hii ya JamiiForums kuficha ID zetu Ila wakanye mods waache mahaba yaan nyuzi wanazozipenda wao ndy wanaziacha Ila za kuhusu awamu ya siksi wanafuta na ban kama kifungashio.
#plutorepublic
 
Moderators watata sana
 
Umemaliza?Bado hujatujua vizuri.
 
Kubeti,umbeya,pondea mtu aliyefanikiwa ama ongea kuwa akafilisika,jisifie kuwa umehaso ulipitia shida mno,na zingine ongezea ambazo jamii inatekwa nazo,labda mpira,ccm vss chadema
Mada za machimbo au kusaka utajiri wa magumashi
 
Trap ile sio elimu.
Huwezi amini miaka yote uliyoenda Shule ulienda kujifunza namna ya kujifunza huko huendako, so kama ulivyosema bila kuvuka mipaka Huwezi kuwa yule unayetaka.
Ni vitu vingi sana vya muhimu havipo katika mfumo wetu wa elimu kwa makusudio maalumu ya CCM ndio maana majority ya Watanzania ni kama bado tupo usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…