Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #41
πNi kama ule Uzi pendwa
"Kula tunda kimasihara" ule Uzi unatembea sanaπ
SanaModerators watata sana
Kuna mwingine huoJana usiku nilitaka nikaangalie kama Kuna kimasiala mpya siku pata wasaaa...
Mbatia alimkaba Koo Ndalichako. Amletee huo anao uita mtaala kile kimama bila aibu kikasema ni mkubwa mno.Ni vitu vingi sana vya muhimu havipo katika mfumo wetu wa elimu kwa makusudio maalumu ya CCM ndio maana majority ya Watanzania ni kama bado tupo usingizini
Mkuu comment IPO wazi kabisa hiyo inashadadiana na Uzi vizuri kabisaUmeuelewa uzi kweli mkuu
NAKAZIAbiashara za mitaji ya laki
kusengenya watumishi wa uma
hii kitu ipo sana .Hili nakubali kwa kufake maisha wabongo tupo vizuri
Kuna picha mule huwezi kuangalia na mke, mpenzi,hawala hata watoto wadogo...Kuna uumbaji mwingi mule......πππKuna mwingine huo
"Picha za warembo world wide " sio poa mkuu Uzi upo tokea mwaka 2002 mpaka Leo Kuna Atari hukoπ€£π€£
Sio ccm Bali mazingira yetu. Uelewe waafrika hatuna hard life yaani tuna easy life mno.yaani ukiwa na alfu kumi unaweza ukaishi nayo ukala kwa msosi wa buku kwa karibia wiki.Ni vitu vingi sana vya muhimu havipo katika mfumo wetu wa elimu kwa makusudio maalumu ya CCM ndio maana majority ya Watanzania ni kama bado tupo usingizini
Niliwshi kuandika humu yafanyike maboresho, lakini Mods hawakifurashwa kwani waliiondoa Post baada ya kudumu kwa midafupi.Pamoja ya kwamba tunaweza kujiona ni wachache humu kulinganisha na population nzima ya taifa.
Lakini nyuzi na maoni yaliyo jaa humu ni picha halisi ya namna jamii yetu ndani ya taifa letu ilivyo.
- Ni vitu gani jamii yetu ndani ya taifa letu inapenda kwa sana ?
- Ni vitu gani jamii haipendi kujihusisha navyo ?
- Jamii inauelewa gani kuhusu masuala mbalimbali ya muhimu ?
- Jamii haina uelewa kiasi gani kuhusu masuala ya muhimu ?
- Athari ya elimu inayo tolewa hapa nchini ina dhihirika kwa kiasi gani ?
- Ni vitu gani vinavyopewa kipaumbele kwa sana ndani ya jamii ?
- Ni vitu gani visivyopewa vipaumbele na jamii ?
Maswali haya na mengi zaidi majibu yake ni picha halisi ya jamii yetu ya Kitanzania kupitia JF namna ilivyo.
Wanakera sanaMbatia alimkaba Koo Ndalichako. Amletee huo anao uita mtaala kile kimama bila aibu kikasema ni mkubwa mno.
Mbatia alimjibu ntaoipia hata winch ikibidi.....kwani alionekana.
Nawaangalia Hawa mafala kwa jicho baya sana.
Daaah!πSio ccm Bali mazingira yetu. Uelewe waafrika hatuna hard life yaani tuna easy life mno.yaani ukiwa na alfu kumi unaweza ukaishi nayo ukala kwa msosi wa buku kwa karibia wiki.
Mods hawana mchezo kwenye kuzipitia nyuziNiliwshi kuandika humu yafanyike maboresho, lakini Mods hawakifurashwa kwani waliiondoa Post baada ya kudumu kwa midafupi.
Naona nawe ni wa viwango vyao, viwango vya biashara Uber ilivyoniwezesha kula tunda kimasihara (reply's 1m!).Mods hawana mchezo kwenye kuzipitia nyuzi
πNaona nawe ni wa viwango vyao, viwango vya biashara Uber ilivyoniwezesha kula tunda kimasihara (reply's 1m!).