Nadhani nywele ka nywele ni mila na desturi za baadhi ya makabila kuwa ikitokea function yeyote mfano msiba ni lazima unyolewe ubaki para, but haihusiani na ushirikina, mbona mimi toka nizaliwe sijawahi nyoa nywele na niko fresh.
ningekuwa Invisible ningekupiga ban kwa kuleta mijadala ya kuogofya jamii.
SOGHOO making mistakes is better than faking perfections, sijamuambia yoyote au sijasema popote watu wanyoe vipara
Huu ufundi wa kutag huwa unanitatiza sana ndugu yangu
OK hebu niambie nifanyeje kurahisisha mambo tafadhali
Mungu na Shetani ni kama mabinamu hapa unaniaminisha shati la Mungu likimbana anampa Shetani!
......
Ni kutoka hapo ile nguvu ya kimungu iliyowekwa kwenye nywele za Samsoni iligeuka na kuwa nguvu ya kishetani na kufanya maangamizi makubwa, tangu hapo nywele imekuwa ni kitu kinachohusishwa na roho chafu na mapepo.