Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

Mim katika mila zetu mtu akifa yaani mama au Baba wanafamilia waliobaki hunyolewa kipara wote
 
Ndugu hapa umezungumza jambo la kitaalamu sana. Naenda fanya study in this, biblical and other rellated books.

Ushawahi kusikikia mganga anasema kalete kucha, nywele au nguo za muhusika?
 
Ushawahi kusikikia mganga anasema kalete kucha, nywele au nguo za muhusika?

Wapo lakini inategemea ni wachawi/wanga wa kutoka sehemu gani na wanatumia uchawi upi wa mashetani majini madogoli au ulozi?
Kwa mfano masangoma wa south wanatumia sana nywele kucha na nguo
 
Nahisi kuna ukwel ndani yake....maana inashangaza hata mtoto akizaliwa inakubidi umnyoe nywele zote....sikuwahi kupata jibu ukimuacha inakuaje

Huyu mshana jr ana tatizo........basi itabidi tunyoe nywele zote maana atakuja na story ya Brazilian wigs na weaves zina majini...................

ALLAH ASEMA MWANAMKE KUVAA NYWELE BANDIA, KUKATA NYUSI NA KUJIPAKA MANUKATO AU UZURI NI LAANA
1. Allah awakataza Wanawake kuvaa Nywele Bandia
2. Allah awakataza Wanawake kujipaka Manukato.
3. Allah awakataza Wanawake kujipodoa.

...Continue Reading HAPA

Nahisi kuna ukwel ndani yake....maana inashangaza hata mtoto akizaliwa inakubidi umnyoe nywele zote....sikuwahi kupata jibu ukimuacha inakuaje

ALLAH ASEMA MWANAMKE KUVAA NYWELE BANDIA, KUKATA NYUSI NA KUJIPAKA MANUKATO AU UZURI NI LAANA
1. Allah awakataza Wanawake kuvaa Nywele Bandia
2. Allah awakataza Wanawake kujipaka Manukato.
3. Allah awakataza Wanawake kujipodoa.

...Continue Reading

Imani zingine zinamdhalilisha mwanamke kwa hilo:

1 Wakorintho 11
5 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
6 Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume.
 
Duh!! Kwa hiyo kuna miungu watu humu duniani au? Aisee!!
 
Mkuu umenikumbusha nilishashuhudia mara nyingi mtu akipandisha mashetani ananyongwa nywele mashetani yanatulia kabisa...nilikua sijawahi kujua mahusiano yake... hapa ndio nimeanza kuconnect dots..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…