Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hiyo dola yenyewe ni nusu kwa nusuCCM hakuna chama mule, imebaki Dola pekee
Hakuna anayemsikiliza, UDOM alizomewaGirishoni leo atajirekodi kujibu akiwa wapi?
Kazi imekwishaAluta continua makamandaβοΈβοΈ
AmenMungu ibariki CHADEMA
Majukumu ya kiserikali hayo maamaeeπͺπͺπͺ
Chama pekee halisi cha siasa ni CHADEMA, wananchi Nzega wajitokeza kwa wingi kusikiliza chama kinachotetea maslahi ya kweli ya raia na taifa letu la TanzaniaUnaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!
Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089
πUnaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!
Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089
Ndugu unaweza kuweka elimu yako hapa kidogo tuisome? Weka ya kwako na mimi niweke ya kwangu harafu wadai watoe maoni yao kuhusu CV zetu. Unaweza kuficha jina haina shidaπ
Ile kauli ya Tundu Lissu Mahakama Kuu, alipomwambia John Heche " PELEKA MOTO, WAPELEKEE MOTO π₯ π₯ π₯Unaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!
Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089
"Kigwangala apigwa na butwaa, akimbia"ππππππ Ila we jamaa bwanaUnaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!
Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089
Asante sanaChama pekee halisi cha siasa ni CHADEMA, wananchi Nzega wajitokeza kwa wingi kusikiliza chama kinachotetea maslahi ya kweli ya raia na taifa letu la Tanzania
23 October 2026
Nzega, Tabora
Tanzania
HECHE AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NZEGA LEO 23 OCTOBER 2026
View: https://m.youtube.com/watch?v=szkbHtUiyX4&
Sikudhani kama ana mbio kiasi kile, Ikangaa anasubiri"Kigwangala apigwa na butwaa, akimbia"ππππππ Ila we jamaa bwana