Nzega: Chadema yaiteketeza CCM, Wananchi wapinga Utekaji, Kigwangwala apigwa na Butwaa, akimbia

Nzega: Chadema yaiteketeza CCM, Wananchi wapinga Utekaji, Kigwangwala apigwa na Butwaa, akimbia

CHADEMA YAZIDI KUELEWEKA VIZURI NA WANANCHI WA NZEGA TABORA LEO 23 OCTOBER 2026

1792780539355.png
 
Dah!
Unanikumbusha watu wa Nzega.

Yule mwingine sijui aliishia wapi na yale mashamba ya vijana wa CCM na Sukari ya kutafuta pesa za kampeni feki ya Samia.
Sasa hivi ni kama alishaaga dunia kabisa!
Bashe ni timu Lowassa kama Nchimbi, wamempiga chini
 
Nonsense. Wakati wa uchaguzi waje wawapigie kura. Siyo uchaguzi unakaribia.,No reform no election. Uchaguzi uanisha ,'tumeibiwa kura".
Unaibiwaje kitu hujashiriki ? Machizi nyie.
Huna akili
 
Unaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!

Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october

View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089
Wanasiasa wa CCM wanaweza kujifunza kutoka Kenya ili kupunguza makelele nchini. Kule Kenya kulikuwa na chama kikongwe KANU. Baadae wanasiasa kutoka KANU wakahamia au kuanzisha vyama vingine. Leo hii KANU ni kama vile imejifia.

Sasa hata huku TZ kutokana na makelele ya wananchi kukichoka CCM basi wakubali tu kuiacha CCM ijifie kifo cha automatically huku wao wakianzisha vyama vingine au kujiunga vyama vingine.

Inawezekana hasira za wananchi zikapungua hata kama viongozi watakuwa ni wale wale lakini wamo vyama vingine. Rejea Lowasa alipokuwa CCM alipondwa lakini alipohamia CHADEMA akakusanya kijiji.

Tujifunze Historia, mabadiliko hayazuiliki bali yanacheleweshwa na yakifika yamefika na ndio maana hata wakoloni walipotingwa waliamua kutoa uhuru kwa nchi za Kiafrika na wakatafuta njia mbadala za kuendelea kututawala. Hata viongozi wa CCM wanaweza kuiacha CCM ijifie halafu wakaibuka katika vyama vingine labda makelele yatapungua nchini!
 
Back
Top Bottom