gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hamumshutumu tena vibali vya sukari?Bashe ni timu Lowassa kama Nchimbi, wamempiga chini
Hamumshutumu tena vibali vya sukari?Bashe ni timu Lowassa kama Nchimbi, wamempiga chini
Jikite kwenye madaHamumshutumu tena vibali vya sukari?
Lete ya kwako uliyopiga kifala tulinganisheNilikuwepo hapo,picha imepigwa kimkakati sana
Hizo picha zako angle ni moja tu,nimeiona nyumba niliyoweka salon 1997Lete ya kwako uliyopiga kifala tulinganishe
Kwenye mada si umesema kaachwa kisa team mamvi,hamdun alikua mkurugenzi pccb,baada ya vibali vya sukari alipoteza kiti,bashe alisubiriwa tu wakati wake,bashe na hamduni wote watoto wa nzega,Rika mojaJikite kwenye mada
CCM tunaviteketeza vyama vyengine kwenye sanduku la kura.Unaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!
Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089
ThubutuCCM tunaviteketeza vyama vyengine kwenye sanduku la kura.