Karibu sana
Alifyatuka kama risasiPicha ya kigwangala akikimbia iko wap mkuui
ππππHapana banaa!
Hizi picha zimetengenezwa ....Sisi watu wa Lumumba hatuna Imani nazo
Dah!Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
Nonsense. Wakati wa uchaguzi waje wawapigie kura. Siyo uchaguzi unakaribia.,No reform no election. Uchaguzi uanisha ,'tumeibiwa kura".Unaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!
Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089
Bashe ni timu Lowassa kama Nchimbi, wamempiga chiniDah!
Unanikumbusha watu wa Nzega.
Yule mwingine sijui aliishia wapi na yale mashamba ya vijana wa CCM na Sukari ya kutafuta pesa za kampeni feki ya Samia.
Sasa hivi ni kama alishaaga dunia kabisa!
Huna akiliNonsense. Wakati wa uchaguzi waje wawapigie kura. Siyo uchaguzi unakaribia.,No reform no election. Uchaguzi uanisha ,'tumeibiwa kura".
Unaibiwaje kitu hujashiriki ? Machizi nyie.
πKazi imekwisha
Mkuu karibu tena jfGirishoni leo atajirekodi kujibu akiwa wapi?
Karibu sanaπ
Ccm inaweza kwa kutumia wizi wa kura, jaji mtungi, polisi na vikundi vya utekajiUnaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!
Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089
Wanasiasa wa CCM wanaweza kujifunza kutoka Kenya ili kupunguza makelele nchini. Kule Kenya kulikuwa na chama kikongwe KANU. Baadae wanasiasa kutoka KANU wakahamia au kuanzisha vyama vingine. Leo hii KANU ni kama vile imejifia.Unaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!
Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089
Nilikuwepo hapo,picha imepigwa kimkakati sanaUnaambiwa hivi, Hakuna Chama cha siasa kwenye Nchi yenu ya Tanzania kinachoweza kupambana na Chadema, Hutaki Unaacha!
Hapa ni Nzega, Maskani ya Kigwangwala, leo 23 october
View attachment 3697085View attachment 3697086View attachment 3697087View attachment 3697089