Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Pia asije kuwazui wenzie kuchukua form 2020 maana ni democrasia pia.
Huyo ni mtenda akitendewa .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia asije kuwazui wenzie kuchukua form 2020 maana ni democrasia pia.
Wanajidhihirsha sana hawa inzi wa kijani.kina nani hao walijitoa? mbona jafo ametoa matokeo ya vyama vyote?
lost and gone.
Inamfanya aende chooniHivi wewe dogo unaipendea nini CCM
Hakuna aliyetegemea kama ccm itakua chama cha kibabeVikwazo tutao umia ni sisi. Viongozi hawajawahi athirika na vikwazo. Sana sana wao malipo yao yatakuwa kwa dollar. Pata picha dollar moja iwe sawa na 5000 afu mshahara wako uwe ule ule. Mafuta yatapatanda bei mara 2 etc
Tunahitaji kupitia hali hiyo ili wananchi wafanye maamuzi magumuVikwazo tutao umia ni sisi. Viongozi hawajawahi athirika na vikwazo. Sana sana wao malipo yao yatakuwa kwa dollar. Pata picha dollar moja iwe sawa na 5000 afu mshahara wako uwe ule ule. Mafuta yatapatanda bei mara 2 etc
Mmejionea wenyewe Demokrasia ilivyonyongwa kwenye uchaguzi wa primaries. Bahati nzuri was dish I wa BBC walikuwepo navwamejionea wenyewe. Ubalozi wa Marekani na Uingereza umetoa tamko.
Bila haya kiongozi wa nchi anavipiga vijembe vyama vya upinzani. Tumeshindwa kujitawala Afrika, mabeberu tunaomba msaada wenu.
Hao wananchi wa kufanya maamuzi magumu wako wapi?, labda kama unaiongelea nchi tofauti na Tz.Tunahitaji kupitia hali hiyo ili wananchi wafanye maamuzi magumu
Mkuu umeanza lini Matumizi ya Bangi?Mmejionea wenyewe Demokrasia ilivyonyongwa kwenye uchaguzi wa primaries. Bahati nzuri was dish I wa BBC walikuwepo navwamejionea wenyewe. Ubalozi wa Marekani na Uingereza umetoa tamko.
Bila haya kiongozi wa nchi anavipiga vijembe vyama vya upinzani. Tumeshindwa kujitawala Afrika, mabeberu tunaomba msaada wenu.