Kitambulisho cha nida hakipigi kura.Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, Mtaa wa Buswiru wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yaani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure, akasema wao wakishakupa gas yao wewe unawapa namba yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Tangu lini kitambulisho cha nida kikatumika kupiga kura?Wanaenda kufyatua kitambulisho cha kupigia kura na kura yako itapigwa tu sehemu. Wakuu mnakuwa kama hamjasoma shule ?. Ukimpa mtu namba zako za nida si unakuwa umempa detail zako zote..kaeni kitaalam
SHORT AND CLEAR THAT MEAN UNAKOPESHWA MTUNGI WA GAS, NA UNAWAPA DETAILS ZAKO ZOTE ILI WASISUMBUKE KUKUTAFUTA!Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, Mtaa wa Buswiru wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yaani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure, akasema wao wakishakupa gas yao wewe unawapa namba yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Na hii ya mjumbe kupita Kila kaya anaorodhesha namba ya mita za umeme na huku si mhusika wa tanesco tunaizunguziaje hii mkuu... 2020 ilikuwa hvyo huku kwetuSHORT AND CLEAR THAT MEAN UNAKOPESHWA MTUNGI WA GAS, NA UNAWAPA DETAILS ZAKO ZOTE ILI WASISUMBUKE KUKUTAFUTA!
Kura ni siri, kura haina jina la mtu fulani, huwezi mpigia kura fulani ukajulikana labda utamke mwenyewe hadharani!Na hii ya mjumbe kupita Kila kaya anaorodhesha namba ya mita za umeme na huku si mhusika wa tanesco tunaizunguziaje hii mkuu... 2020 ilikuwa hvyo huku kwetu
We hapo huelewi nini ? Kwani tofauti ya hivyo vitambulisho ni nini na similarities zao ni zipi?Tangu lini kitambulisho cha nida kikatumika kupiga kura?
Unasema kweli, ila hiyo ya kwenda kwa watu wa simu au kwenye loss report itawachanganya sababu wap wanataka mtaa kwa Maya house hold moja kwenda nyingine so hata wakiingiza kwenye database kufanya normalization itakuwa sio ngumu na itaondoa data redundancies. Kwenda kwenye simu sijui na wapi ni ngumu kuzisort hizo data sababu mimi wa vingunguti nimesajili line maeneo ya ubungo mtu kaambiwa achukue data za watu wa ubungo anaupiga kwa msanii line ananinote mimi pia na mimi sio wa ubungo...wakifanya hivyo kutakuwa na data redundancy za kutoshaHao wagawa mitungi ili wapate Namba za NIDA (kama ni namba Pekee) Ndio hawajasoma sababu kupata namba tu rahisi sana wewe nenda kwa wasajili simu au stationary wanaofanyia watu Loss Reports let alone namba za NIDA hadi kuna wakati mtu anampa kitambulisho ili achukue information za kuzinfanyia Kazi..., Namba yako is not meant to be a Secret bali ni kama Utambulisho katika Sehemu tofauti tofauti...
Sasa kama Namba pekee ndio inapiga Kura; Issue sio kwa wanaochukua au kutoa pekee bali mfumo mzima ni mundelezo wa Maigizo... Na kama nilivyosema huko Awali...
Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia
Tukumbushane tu..., Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija...www.jamiiforums.com
Vitambulisho vya NIDA havitumiki kama vitambulisho vya kupigia KuraWife juzi kanipigia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa leo ikabidi nimdodose yaani ni kina nani mpaka wagawe gas bure, akasema wao wakishakupa gas yao wewe unawapa namba yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
NIDA unampigia Rais ukiwa popote nchini. Hukujua?Kitambulisho cha nida hakipigi kura.
Kuna uhusiano gn wa hy namba ya nida na kupiga kura?
Shukrani sanaKuwa marehemu haimaainishi hujui umri wake
Pole kufiwa na baba anyways. Mungu amrehemu huko alipo na azidi kumpa pumziko la milele
Tumesema kwamba mtu akipata NIDA yako tu anapata information; Sawa kwahio kama atapata information si atajua pia ninapokaa no matter nakaa wapi ?Kwenda kwenye simu sijui na wapi ni ngumu kuzisort hizo data sababu mimi wa vingunguti nimesajili line maeneo ya ubungo mtu kaambiwa achukue data za watu wa ubungo anaupiga kwa msanii line ananinote mimi pia na mimi sio wa ubungo...wakifanya hivyo kutakuwa na data redundancy za kutosha
So uchaguzi n wa rais tuu?NIDA unampigia Rais ukiwa popote nchini. Hukujua?