Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ni Marehemu sasa, kumbe ndio maana!Kama baba yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Marehemu sasa, kumbe ndio maana!Kama baba yako
Wanaenda kufyatua kitambulisho cha kupigia kura na kura yako itapigwa tu sehemu. Wakuu mnakuwa kama hamjasoma shule ?. Ukimpa mtu namba zako za nida si unakuwa umempa detail zako zote..kaeni kitaalamHapo na mim ndio sijaelewa.. wataalam watueleweshe ukishagawa taarifa zako Nini kitatokea?
Kuwa marehemu haimaainishi hujui umri wakeNi Marehemu sasa, kumbe ndio maana!
Ukishaonq rushwa inatolewa kwa uwazi namna hii ujue taifa lipo hoi kabisaWife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Hivi hata kusoma unajua ?!!! Moja kama issue ni namba ya NIDA tu unaweza ukazipata namba za NIDA bila muhusika kukupa.., Issue ya kugawa Mitungi ya Gesi nimekuwa nikilaumu tangia enzi na enzi..., Kwanini Serikali ihangaike kugawa mitungi ya gesi ili watu wapikie gesi kijijini wakati ni gharama na gesi hio wala sio yetu tunaagiza ?Wewe na wao ni wale wale unachokitetea unakijua
Mi wanileteeWife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Sawa bossHivi hata kusoma unajua ?!!! Moja kama issue ni namba ya NIDA tu unaweza ukazipata namba za NIDA bila muhusika kukupa.., Issue ya kugawa Mitungi ya Gesi nimekuwa nikilaumu tangia enzi na enzi..., Kwanini Serikali ihangaike kugawa mitungi ya gesi ili watu wapikie gesi kijijini wakati ni gharama na gesi hio wala sio yetu tunaagiza ?
Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala
Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...www.jamiiforums.com
Nishati Safi ya Kupikia: Kwa Kutumia Tariff Zero (100 per Unit) Mpikiaji badala ya kutumia Gesi Ataokoa Tshs 206/= kwa kila unit
Yaani kila mwanakijiji au kama tukiamua wote wawe Tariff Zero kila mwenye Mtungi wa kujaza elfu 25 akienda kununua huyu wa umeme anasave elfu 16 au kwa maana nyingine ni kama mwenye umeme ananunua mtungi wa gesi kwa elfu nane. Hili lipo wazi kabisa swali ni kwamba kwanini kama Taifa tunapigia...www.jamiiforums.com
Now huenda ni kweli ninachokisema ninakijua (sio kukitetea) ila wewe unacholaumu haujui impact yake ukubwa wake na impact yake sio uchaguzi bali ni kududumiza maisha ya raia na upuuzi huo haujaanza leo wala juzi sababu kuna kipindi hata waziri wa Nishati aligeuka dalali wa gesi...
Kuna watu wanakula pesa za Samia bila huruma.Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Pia na Mimi najua hivyo ss Kuna member hapo juu wanapayuka payuka wanadhani watanzania wote wajingaWanaenda kufyatua kitambulisho cha kupigia kura na kura yako itapigwa tu sehemu. Wakuu mnakuwa kama hamjasoma shule ?. Ukimpa mtu namba zako za nida si unakuwa umempa detail zako zote..kaeni kitaalam
sio kura bro bali ni uthibitisho wa takwimu kuwa gesi imewafikia watu na haikutapeliwaWife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Kumekucha😅😅😅Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Hii nchi sababu ya umasikini watu wanaamua kuuza utu wao na vitu kama hivyo...mfano kugawiwa mitungi ni dhahiri kabisa kwamba Sisi ni masikini ila sisi hawa hawa nakuja kiongozi na akasema sisi ni matajiri sisi hawa hawa tunapiga vigeregere...Watu wa Ajabu sanaPia na Mimi najua hivyo ss Kuna member hapo juu wanapayuka payuka wanadhani watanzania wote wajinga
Hao wagawa mitungi ili wapate Namba za NIDA (kama ni namba Pekee) Ndio hawajasoma sababu kupata namba tu rahisi sana wewe nenda kwa wasajili simu au stationary wanaofanyia watu Loss Reports let alone namba za NIDA hadi kuna wakati mtu anampa kitambulisho ili achukue information za kuzinfanyia Kazi..., Namba yako is not meant to be a Secret bali ni kama Utambulisho katika Sehemu tofauti tofauti...Wanaenda kufyatua kitambulisho cha kupigia kura na kura yako itapigwa tu sehemu. Wakuu mnakuwa kama hamjasoma shule ?. Ukimpa mtu namba zako za nida si unakuwa umempa detail zako zote..kaeni kitaalam
Duh, mkuu we chukua tu, Bora ni halali. Maana kura hautapiga Kwa kutumia NIDA, kura si Kuna kitambulisho Cha kupigia kura. Kura ni Siri Yako.Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, Mtaa wa Buswiru wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yaani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure, akasema wao wakishakupa gas yao wewe unawapa namba yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi