cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Km vinajiletaaa. Ila sivifuati.Kanda ya ziwa. Unapenda vya buree??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km vinajiletaaa. Ila sivifuati.Kanda ya ziwa. Unapenda vya buree??
😁😁😁sasa utatumia mkaa mpaka lini gentleman?
ama kweli uoga wako ndiyo umaskini wako 🐒
Muulize aliye kataa gesi!Tukuulize mkuu, hizi mbinu mpya mlizobuni zinafanyaje kazi kwenye sanduku la kura
we endelea kupikia kuni kwa uchoyo wa namba ya nida tu shauri yakoWife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Baada ya gas kuisha tunahifadhi stoo maana kubadilisiha mtungi bado bei ghali. Lengo zuri badi approach ya kutatua tatizo.Vijijini wanagawa kwa 15k.
Ni wapii huko buree, wana raha mnoo.
N Polisi wamehongwa magari na pikipiki, watatumaliza mwaka huu wallah mbwa hawaWife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.
Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
rushwa wanaanza kuhesabu kura kwa lazimaNamba ya nida ya nn boss