Pre GE2025 Nzega, Tabora: Mtaani kwetu kuna watu wanapita Kila kaya wanagawa mitungi ya gesi, Sharti lao uwape namba yako ya NIDA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye sanduku la kura si unakuwa mwenyewe? Iwaje sasa wawe na hakika ya kura yako?
Kuna mdau hapo juu kasema huenda ukishawapa nida namba wanatengeneza copy
 
Mwanza?

Tukikaribia uchaguzi huwa yanatokea haya sana, nadhani mpaka August tutayasikia sana haya
Mkuu na watanzania wamejichokea na umasikini wao hata hawaulizi mara mbili wanachukua tu
 
Maskini Tanzania 😭😭😭😭
Sasa hivi sio t shirt na kofia tena, wamehamia kwenye has.
Wameadvance.
Kwahiyo kura moja wananunua kwa sh. 20000 mpaka sh. 45000
 
Mkuu ni vitu ambavyo vinachukiza sana
 
Wife juzi kanipgia simu kuniambia kuna watu wamekuja home wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.

Sasa Leo ikabidi nimdodose yani ni kina nani mpaka wagawe gasi bure akasema wao wakishakupa gase yao wewe unawapa namba Yako ya NIDA hapo tayari wanakuwa na uhakika wa kura Yako mwezi Oktoba.

Wakuu hii inawezekanaje si rushwa hii? Na kaya nyingi sana zilizofuzu vigezo hivyo zimechukua mitungi
Wapunguzwe Bei ya kujaza gesi tu Hilo ndilo suala NYETI.
 
Safari hii kura zitapigwa kwa kutumia nida!?
 
Wapunguzwe Bei ya kujaza gesi tu Hilo ndilo suala NYETI.
Ndio kama wanania njema kweli wafanye 15 badala ya 25 wanayotuuzia... Halafu waende kwenye petrol/diesel wafanye 2000 badala ya 2900 uone maisha kama hayabadiliki na bei za nauli zinashuka
 
Back
Top Bottom