Uchaguzi 2020 Nzega, Tabora. Wana-CCM kata ya Itobo wamkataa mteule wanayedai ametumia rushwa ya ngono

Mbona kawaida sana hiyo kwenye hivi vyama

Huku Chadema kuna mrembo anaitwa Joyce Mukya,
uno lake kwa Mwenyekiti Mbowe lilimpa ubunge viti maalum kuanzia mwaka 2010-2020, yeye ni kiti maalumu tu
 
Wapiga kura wamshutumu mgombea kutoa rushwa ya penzi.
==
Mwanachama wa chama cha Mapinduzi amelalamikia Mgombea Udiwani wa Itobo kupitia chama cha Mapinduzi kutumia 'kiuno chake' kupata nafasi ya Kugombea udiwani japokuwa alipata kura saba dhidi 68 za aliyeshinda kura ya maoni.

Amesema kwa kauli za mgombea mwenyewe aliyesema 'Nitahakikisha nimemkatikia mwenyekiti Kanuda ili nipate udiwani' na kudai ni kweli Kanuda kamsimamia

Mwanachama amesema wanamtaka Abdallah ambae ndiye chaguo lao waliyempa kura 68 na sio mwenye kura saba.

Source:
...Kwa post ya namna hii kwa hiyo wewe uliyeileta Unaamini kuwa kila MwanaJF humu anajua Itobo ipo wapi! Kenya?
 
Hayo mambo ya viuno ccm mbona hapo sana,Huyo mama alikuwa hajui wanawake wengi wamepanda kisiasa kwa ajili ya viuno. Hata yule wa babati kiuno ,kiuno jamani
Huyu nae!! Kwani hajui hata chairman wa milele wa UFIPA huwa anakatikiwa na maalum wao. Sema alizidiwa mikatiko tu huyu naeee
 
Wapiga kura wamshutumu mgombea kutoa rushwa ya penzi.
==
Mwanachama wa chama cha Mapinduzi amelalamikia Mgombea Udiwani wa Itobo kupitia chama cha Mapinduzi kutumia 'kiuno chake' kupata nafasi ya Kugombea udiwani japokuwa alipata kura saba dhidi 68 za aliyeshinda kura ya maoni.

Amesema kwa kauli za mgombea mwenyewe aliyesema 'Nitahakikisha nimemkatikia mwenyekiti Kanuda ili nipate udiwani' na kudai ni kweli Kanuda kamsimamia

Mwanachama amesema wanamtaka Abdallah ambae ndiye chaguo lao waliyempa kura 68 na sio mwenye kura saba.

Source:

Wakaoshe tu maana hakuna namna tena!!!
 
Nayeye akaioshe! Maana kakiri kuwa kaifungia.
 
Chama kina laana hiki!!!!!!
Tukisema hiki Ni CHAMA CHA MASHETANI msiwe mnabisha

Mashetani wapo huko cdm ambako mgombea wao amesema ataruhusu ndoa za jisia moja km walivyokuwa wale wabunge wastaafu wakike H.M na E.B upo hapo baba eeh!!
Nikipi chama chamashetani hapo.
 
Hii sasa hatari. Inakuwaje chama kikongwe kama CCM kinafikia hatua ya kupata viongozi wake kwa njia za aibu kama hizi?
Ndio maana wakimalizana huko wanakuja kwa wananchi na kulazimisha kutuwekea viongozi kwa njia haramu.
Hebu sikilizeni wenyewe mtoe maoni.

cc; Wakudadavuwa
YEHODAYA

View attachment 1548475
Acheni ujinga,ubovu wa mtu binafsi huo kama ulivyo wewe kwenye ukoo wako lakini una tabia zako za kishenzi kishenzi na hazifanyi ukoo wako wote wawe washenzi
 
Usikute wewe ni mmoja wa hao wapata vyeo kwa kiuno
 
Back
Top Bottom