Uchaguzi 2020 Nzega, Tabora. Wana-CCM kata ya Itobo wamkataa mteule wanayedai ametumia rushwa ya ngono

Uchaguzi 2020 Nzega, Tabora. Wana-CCM kata ya Itobo wamkataa mteule wanayedai ametumia rushwa ya ngono

Hii rushwa ya ngono imetamalaki hadi kufikia kuvunja ndoa kwa mwenyekiti wa Chama na wafuasi wako kimyaa
Heri CCM wameamua kuikemea hadharani
Weka ushahidi kama huu ulioko hapa. Acha kuandika kwa hisia, au wewe umeukosa udiwani kwa vile huioshi vizuri kama alivyosema huyo?
 
Wamekasirika kutokana na aina ya rushwa au rushwa kwa ujumla? Mbona msemaji ni mmama?
Je, neno 'Itobo' lina maana gani?
 
hii iko hadi ngazi ya Taifa , yafuatilie ya Babati Mjini

Nayo nimeyaona si muda!!

Hii sio sawa hata kidogo!

Naona kuna members humu wamesema ni jambo la kawaida!!??Its both pathetic and shameful kwa karne hii kuwaza hivyo!!

Leadership by deception isn't leadership. It's fraud.
 
Haya ni mambo tuu ya wivu wa kike, mwanamke kashindwa na mwanamke mwenzake, sasa anataka kutuchafulia chama kwa mambo ya kijinga kabisa ya vivu wa kike na kusingizia ni rushwa ya ngono.
Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria zetu, the age of majority ni 18 years, masuala ya mapenzi over 18 years ni issue za consent, kama watu wazima wawili wenye akili timamu wame consent kugaiyana, hayo ni mambo yao binafsi na rights zao za privacy, lakini CCM imepitisha wagombea makini, wote walioshinda na kukatwa, wamekatwa kwa sababu na wote waliopitishwa wamepitishwa kwa sababu, huyu kada asitake kutuchafulia chama chetu kwa wivu wake tuu wa mapenzi, na hata kama ni kweli M/Kiti amehudumiwa, as long as hajabaka, mtoaji ametoa kwa ridhaa yake mwenyewe, that is none of our bussiness as long as aliyepitishwa ana sifa na vigezo!.
CCM Oye...!.
Kada Pasco

Mwadirah ghawizah nnkoi!

Beware the build-up of an inward wound, For it will at last burst forth;......
Avoid, while you can, distress to one heart,
For a single moan can quake the Earth. [emoji95]
 
Hii rushwa ya ngono imetamalaki hadi kufikia kuvunja ndoa kwa mwenyekiti wa Chama na wafuasi wako kimyaa
Heri CCM wameamua kuikemea hadharani
Msambwanda aka chura kigogo uzalendo umemshindaaaaaaaa
Hujui kama msambwanda cv tosha

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kajiongeza sana hii rushwa tamu sana, sasa takukuru mtamchunguza vip kuwa katoa rushwa
 
Hii rushwa ya ngono imetamalaki hadi kufikia kuvunja ndoa kwa mwenyekiti wa Chama na wafuasi wako kimyaa
Heri CCM wameamua kuikemea hadharani
CCM wameikemea au mwana Ccm mmoja?
Tukisema CCM sio chama bali genge la "Corleone", mnasema mnatukanwa.
 
Weka ushahidi kama huu ulioko hapa. Acha kuandika kwa hisia, au wewe umeukosa udiwani kwa vile huioshi vizuri kama alivyosema huyo?
Mwenyekiti kahonga kitmaalum akaacha mke
Ushahidi maneno yangu kama huyo mama wa Tabora alivyotoa maneno yake
 
Ha haaa dah Itobo, unajua wanyamwezi huwa wanafanana hulka na wazaramo sana.

Ndio maana nyie wenye vi TV vya kijamii mnafungiwa! Hivi hata huyu aliyerusha hii crip kweli anaweredi wa kiuandishi! Huwezikurusha maneno machafu kama hiyo tena bila ku barance story!

Naamini TCRA mpo humo , mchukulieni hatua mwenye hii media.
 
Haya ni mambo tuu ya wivu wa kike, mwanamke kashindwa na mwanamke mwenzake, sasa anataka kutuchafulia chama kwa mambo ya kijinga kabisa ya vivu wa kike na kusingizia ni rushwa ya ngono.
Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria zetu, the age of majority ni 18 years, masuala ya mapenzi over 18 years ni issue za consent, kama watu wazima wawili wenye akili timamu wame consent kugaiyana, hayo ni mambo yao binafsi na rights zao za privacy, lakini CCM imepitisha wagombea makini, wote walioshinda na kukatwa, wamekatwa kwa sababu na wote waliopitishwa wamepitishwa kwa sababu, huyu kada asitake kutuchafulia chama chetu kwa wivu wake tuu wa mapenzi, na hata kama ni kweli M/Kiti amehudumiwa, as long as hajabaka, mtoaji ametoa kwa ridhaa yake mwenyewe, that is none of our bussiness as long as aliyepitishwa ana sifa na vigezo!.
CCM Oye...!.
Kada Pasco
Yes p. Huyu mama korokoro lake lililopata kura nyingi ndo limepigwa chini, nayeye ndo lilikuwa korokoro lake, harafu inaonekana hana kiuno, maana cku zte wanawake wasio na makario huwa wanawachukia sana wenye Kitonga nyuma.

Huyu mama na mwenye media lao moja.

Viva mama wakiuno, kama kiuno kimekusaidia hongera pia, maana hawezi wapa Segere wajumbe wote,. Wewe punda kaa kimya ukishindwa ifungulie uioshe na wewe maana mchina bado hajafunga kiwanda cha makario.
 
Ccm na RUSHWA ni sawa na mwili na damu.. haviachani. Kimoja kikiondoka kingine kinakufa

Hakuna rushwa hapo, sema huyo mama hana kitonga nyuma(kiuno) harafu kaifungia badara ya kuifungulia na kuiosha.

Ni wivu tu mkuu! Lkn pia kushindwa kutumia rasirimali viungo tulivyopewa na mungu, yy km hana kiuno aende hata umiss ntobo.
Awaache wenye viuno wapige siasa.
 
Back
Top Bottom