Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiiii hadi Mwenyekiti haiiachiHadi raha. Hii ndio rushwa tamu hasa.
Wahenga walisema '.........mwanzo wa ngoma ni lelele.............'Hii sasa hatari. Inakuwaje chama kikongwe kama CCM kinafikia hatua ya kupata viongozi wake kwa njia za aibu kama hizi?
Ndio maana wakimalizana huko wanakuja kwa wananchi na kulazimisha kutuwekea viongozi kwa njia haramu.
Hebu sikilizeni wenyewe mtoe maoni.
cc; Wakudadavuwa
YEHODAYA
View attachment 1548475
Kawaida yao hawa nzi wa kijani!
In the meanwhile selemani luwongo kakamatwa na takukuru kwa kutaka kumhonga msimamizi wa uchaguzi mtama
Duh...!.
Dah! niliifungua mbele ya mtoto wangu, nikaifunga haraka.