Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Haya ni mambo tuu ya wivu wa kike, mwanamke kashindwa na mwanamke mwenzake, sasa anataka kutuchafulia chama kwa mambo ya kijinga kabisa ya wivu wa kike na kusingizia ni rushwa ya ngono.
Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria zetu, the age of majority ni 18 years, masuala ya mapenzi over 18 years ni issue za consent, kama watu wazima wawili wenye akili timamu wame consent kugaiyana, hayo ni mambo yao binafsi na rights zao za privacy, lakini CCM imepitisha wagombea makini, wote walioshinda na kukatwa, wamekatwa kwa sababu na wote waliopitishwa wamepitishwa kwa sababu, huyu kada asitake kutuchafulia chama chetu kwa wivu wake tuu wa mapenzi, na hata kama ni kweli
M/Kiti amehudumiwa, as long as hajabaka, mtoaji ametoa kwa ridhaa yake mwenyewe, that is none of our business as long as aliyepitishwa ana sifa na vigezo!.
CCM Oye...!.
Kada Pasco