Nzige wameingia uganda mji wa kitiguu wageuzwa kitoweo

Hawa nzige watakapoingia Tanzania LAZIMA niwale. Wana protini na ni chakula kizuri.
 
YAANI WALICHOFANYIWA UGANDA NAHISI WATAKIMBILIA CONGO EAC BASII KHA
 
Acha kuwaza kitunguu. The correct name of the town is KITGUM
 
Hawa Nzige nasikia ni wale wenye harufu mbaya sana na huwa hawaliki, Uganda cjui wamewala VP,
====

Harufu mbaya gani hiyo inagoma kudhibitiwa na tangawizi. ndimu na kitunguu!!!
 
Hawa Nzige nasikia ni wale wenye harufu mbaya sana na huwa hawaliki, Uganda cjui wamewala VP,
====

Harufu mbaya gani hiyo inagoma kudhibitiwa na tangawizi. ndimu na kitunguu!!!
Mchagaa huyu msamehe
 
Awajahi kuonja samaki WETU WA Mara loh
 
Aisee mkuu adi nimesisimka unataka kuniambia radha yake ni kama senene au


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kabisa mkuu,, tena haya majamaa unayakuta yamejazia siyo kawaida! Yana virutubisho kama vyote!
 
Mkuu panzi watamu sana. Enzi hizo sisi tulikuwa hadi tunawauza.
Unakumbuma mkuu tukiwa machungani tulivyokuwa tunawatunga kwenye kamba? Ukitoa ile miguu ya nyuma (tunaita mapando) wanatengeza tundu hapo ndipo unapitisha kamba yako unakuwa kama mtungo fulani hivi! Ilikuwaga burudani sana wakati huo! Watoto wetu wanaya-miss haya maisha pole yao aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…