Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakosee kotee wasikanyage hukoo doh..hatamm ntahamia bukobaa
Watakuwa wamewapiga perfume.mkuuHawa Nzige nasikia ni wale wenye harufu mbaya sana na huwa hawaliki, Uganda cjui wamewala VP,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanana na hao, isipokuwa nzige wana rangi ya majani makavu na ni wembamba kidogo kwa umbile.Hivi hao nzige wanafanana na wale wa kule vijinini wenye madoti doti kama chiter?ambao tulikuwa tunawachoma kwenye mkaa tunatafuna
Ukiwakuta nimewakaanga mkuu hutajuta!Nimewahi kuonja senene ila kwa panzi, nzige..? Daah sijui naanzaje labda nilishwe nikiwa sijitambui haki ya nani!
Kabisa mkuu,, tena haya majamaa unayakuta yamejazia siyo kawaida! Yana virutubisho kama vyote!Aisee mkuu adi nimesisimka unataka kuniambia radha yake ni kama senene au
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unakumbuma mkuu tukiwa machungani tulivyokuwa tunawatunga kwenye kamba? Ukitoa ile miguu ya nyuma (tunaita mapando) wanatengeza tundu hapo ndipo unapitisha kamba yako unakuwa kama mtungo fulani hivi! Ilikuwaga burudani sana wakati huo! Watoto wetu wanaya-miss haya maisha pole yao aisee!Mkuu panzi watamu sana. Enzi hizo sisi tulikuwa hadi tunawauza.