Nzige Wavamia Kilimanjaro

Hiko si chakula cha kuku hicho, wajaribu kuvamia shamba la Mr.Kuku kule kigamboni, ndio watajua kama pombe sio chai
 
Hayo maombi kijazi aliyadharau ndio yamemrestisha
 
Corona no vita vya kiuchumi ila kwa nzige Hapana!
 
Wakivamia shamba la Migomba limakuwa jeupee
Hadi migomba wanakula,nzige niiwasoma kwenye bible kumbe huwa wako halisi kabisa, Dar wakisambaa nchi nzima sikutakuwa na njaa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…