Nzige Wavamia Kilimanjaro

Nzige Wavamia Kilimanjaro

Kuna haja ya kupambana nao maana wataleta hali ambayo sio nzuri huko mbeleni.
Bashe yuko site ndege inapuliza dawa na dawa inaonekana iko effective wanakufa sana kenya nao wamejitolea ndege manake tusipowazibiti wataenda na kwao
 
Tatizo kilimanjaro walidharau maimbi awamu ya kwanza ya kuzuia Nzige wasiingie Tanzania.Maombi yale yalizuia lakini watu wa kilimanjaro na Arusha walidharau haya nzige hao mtajijua

Ni kama Corona wengi walikataa kushiriki maombi ile awamu ya kwanza ya Corona sasa Corona hilo limetua part two mtajijua mliookataa kushiriki maombi
 
Wametokea kenya kupitia same. Mbona waziri wa kilimo alisema atawadhibiti kwa dawa.
Acha uongo eti wamepitia same ,..HV unaujua umbali wa same to siha ....
Hao nzige waliingia wilaya ya longido...mpakani ....wakaenda mpaka west kilimanjaro wilaya ya siha
 
wizara ilituma ndede Jana longido takribani eneo la ekar 419 lililopuliziwa dawa kuua hao nzige.mi nadhani wizara ingebuni technology ya kuwakusanya wakiwa hai Hawa wadudu ni fursa na kipato.
 
Breeding ground zao na muda ndiyo suala la kufuatilia kwa kina....hapa remote sensing in Geography ni muhimu sana kutumika ili kupata clue mapema kupitia satellite images...tatizo Africa bado tunapenda zimamoto sana ....reactive measures.
 
We are gone , why all of this is happening now , what is the meaning of this ?
 
Back
Top Bottom