kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
Bashe yuko site ndege inapuliza dawa na dawa inaonekana iko effective wanakufa sana kenya nao wamejitolea ndege manake tusipowazibiti wataenda na kwaoKuna haja ya kupambana nao maana wataleta hali ambayo sio nzuri huko mbeleni.