O.J.: Made in America


What's new? Watch the documentary...
 
What's new? Watch the documentary...

Jana niliangalia kidogo lkn nimegundua kitu kingine kipya. Wale ditectives waliorespond to the Crimescene na waliomhoji ndo walichangia kuifanya kesi nyepesi kwa upande wa O.J
 
Jana niliangalia kidogo lkn nimegundua kitu kingine kipya. Wale ditectives waliorespond to the Crimescene na waliomhoji ndo walichangia kuifanya kesi nyepesi kwa upande wa O.J

Umeona eh..

Yaani jamaa walichemka vibaya mno.

Jingine jipya nililojifunza...jurors walipotembelea nyumba ya O.J. kumbe defense team walifanya jitihada za kubadili picha zilizokuwemo ndani ya hiyo nyumba.

Mwanzoni zilikuwepo picha nyingi za O.J akiwa na wazungu lakini picha hizo zilibadilishwa na kuwekwa za O.J akiwa na weusi.

Hiyo yote ilikuwa ni katika jitihada za kujenga taswira flani kwa jurors.

Ila Mark Fuhrman naye alisababisha O.J kushinda kesi.
 
NN umenikosha this is really wonderful. Respect Bro!
 


This case's interestingly scandalous up to this date.

I never saw that famous bronco chase in its entirety, it was like a movie.
Lakini na u celebrity aliachiwa sana, that was a motorcade, he was literally being escorted!

Defense was strong, no kidding. They killed it.
Marcia Clark was pissed with Mark Fuhrman with that glove incident, he sold the case for peanuts 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…