O.J.: Made in America

O.J.: Made in America

Sababu zipo kadhaa na chache zikiwemo za kihistoria, kimfumo, kitakwimu, na kijamii. Kihistoria - watu weusi walikandamizwa kutokana na hali yao ya kitumwa ambapo hawakuhesabiwa kama binadamu bali walihesabiwa kama mali. Kimfumo - sheria za kibaguzi kama za Jim Crow ambazo ziliwakandamiza watu weusi kwa kuwanyima elimu na mambo mengine ya msingi. Kitakwimu - idadi ya watu weusi wachache sana kulinganisha na watu weupe. Kijamii - watu weusi nao wao kwa wao wana matatizo yao. Kwa mfano, mtoto mweusi anayefanya vizuri darasani huwa anaonekana eti 'ana act white' kisa tu yuko makini katika elimu. Labels kama hizo huvunja mioyo ya watu wengi na hivyo kufanya jamii kwa ujumla wake kukosa mafanikio.



Uchaguzi wa mwaka huu uko tofauti sana na chaguzi za miaka ilopita. Hilo ni kwa sababu mgombea mdhaniwa wa chama kimoja, cha Republican, siyo mwanasiasa.

Donald Trump anaweza kabisa kushinda [ingawa binafsi sidhani kama atashinda]. Itakuwa ni jambo la kipumbavu kabisa kumpuuza. Toka alipotangaza nia wale wote waliompuuza imewatokea puani.

Kuhusu kauli zake tata hususan hiyo unayosema ya "kupiga marufuku waislam kuingia Marekani", kwanza, si sahihi. Trump hajasema anataka kupiga marufuku Waislam kuingia Marekani. Alichosema ni kwamba, wasitishe kwa muda kuruhusu wahamiaji na wakimbizi wanaotoka kwenye nchi za Kiislamu hadi hapo watakapokuja na njia iliyo bora zaidi ya kuwachunguza hao wahamiaji na wakimbizi.

Sasa kusitisha jambo kwa muda si sawa na kulipiga marufuku kabisa. Au wewe unaona ni kitu kilekile tu?

Pili, kuhusu kauli zake zingine za utata hususan kuhusu Afrika na Waafrika, hizo hazina ukweli wowote kwa maana ya kwamba hajawahi kuzitoa. Ni uzushi tu.



Labda kusimamia kuurudisha uchumi katika mstari baada ya mtikisiko wa 2008.



Ni imani potofu tu. Mafanikio hayaji tu hivi hivi. Mafanikio huwa ni matokeo ya fursa na uchapa kazi. Sasa, ukweli ni kwamba Marekani fursa zipo nyingi mno kulinganisha na Afrika. Lakini mtu usipochapa kazi huwezi kufanikiwa hata kidogo. Na uchapa kazi ni kanuni ambayo inatumika popote pale ulimwenguni.



Binafsi siupendi ushoga. Lakini pia naamini katika uhuru wa watu kufanya yale kitu roho inapenda ili mradi tu hawaingilii anga zangu. Hivyo, kama mtu ni shoga hayo ni mambo yake. Mimi hayanihusu. Kauli mbiu yangu ni 'fanya yako, ishi kivyako'. Mtu anajifanyia mambo yake kivyake, mimi inanihusu nini? Kwa nini nihemuke na mambo ya wengine? Tigo si zao? Sasa kama ni zao na wanapenda ziliwe, mimi inanihusu nini? Hainihusu.



Kwa jinsi changamoto zilivyo nyingi, sidhani kama nitakuwa na kipaumbele kimoja tu. Ila kilicho cha msingi zaidi ni utawala wa kisheria. Kwa hiyo nitaanza na hilo kwanza. Kuhakikisha nchi inatawaliwa kwa sheria na si vinginevyo.


Sorry for copying the whole thing but this's dope!
 
Yeah hata mi nishasikia hiyo.

Baba yao na akina Kim, marehemu Robert Kardashian, alikuwa ni mshikaji wa O.J.

Sasa labda alimzunguka mshikaji wake na kuchepuka na mke wake.

Wait,...what Now?

Oh!, wow!, weird kama ni kweli. I wonder which one of the kids.
 
One thing I've been wondering is why didn't Nicole leave him, especially after rumors spread that she's was being abused.
Unless am missing something but...

Naona angeondoka mapema, sheshe lilipoanza.
 
One thing I've been wondering is why didn't Nicole leave him, especially after rumors spread that she's was being abused.
Unless am missing something but...

Naona angeondoka mapema, sheshe lilipoanza.

They separated in Feb. of 1992 and their marriage was dissolved on October 15, 1992.

But then again matters of the heart don't follow any principle.

Even after their divorce they tried to reconcile, something that kept them in touch beside the kids...
 
Katika kesi zote ambazo nimewahi kufuatilia, iwe kwa ajili ya kikazi au raghba tu, nadhani hii ndo iko juu kuliko zote.
Iko juu kuliko zote kivipi, inakuwa ya kwanza kutokea kwenye listi za google search?
 
One thing I've been wondering is why didn't Nicole leave him, especially after rumors spread that she's was being abused.
Unless am missing something but...

Naona angeondoka mapema, sheshe lilipoanza.

Btw, part 3 is on tonight...9PM Eastern on ESPN.
 
  • Thanks
Reactions: kui
They separated in Feb. of 1992 and their marriage was dissolved on October 15, 1992.

But then again matters of the heart don't follow any principle.

Even after their divorce they tried to reconcile, something that kept them in touch beside the kids...


..yea ni kweli, matters of the heart...

She was beaten not once, not twice, and she kept holding on to him, hata kama ni baba watoto, she would've known better not to let him get that far.
 
You are entitled to your opinion.
which is that, to say OJ case "iko juu kuliko zote" doesn't mean anything, it's jibberish... "kesi niliyofuatilia kikazi..." kazini kwenu ndio uli submit report iliyoonyesha kesi ya OJ iko juu kuliko zote, what are you, an interning paralegal's secretary?
 
which is that, to say OJ case "iko juu kuliko zote" doesn't mean anything, it's jibberish...

"jibberish".....what is that Mr. Know-it-All?

"kesi niliyofuatilia kikazi..." kazini kwenu ndio uli submit report iliyoonyesha kesi ya OJ iko juu kuliko zote, what are you, an interning paralegal's secretary?

I'm actually a janitorial scientist😀😀😀😀😀
 
which is that, to say OJ case "iko juu kuliko zote" doesn't mean anything, it's jibberish... "kesi niliyofuatilia kikazi..." kazini kwenu ndio uli submit report iliyoonyesha kesi ya OJ iko juu kuliko zote, what are you, an interning paralegal's secretary?

Mkuu what are U trying to prove? Jaribu ku revisit your unfortunate comments - unaonekana ni mtu mwenye majuvuno sana!!! - Ngabu kakufanya nini?

Mtu unakuwa overly bellicose bila sababu za msingi - hii siyo fresh hata kidogo.
 
Kwa sababu ya upumbavu wake.

Inasemwa yeye na washikaji zake walienda kupora vitu vyake.

Basi hiyo ndo ikawa sababu ya kumkamatia kwenye hilo maana kule kwenye mauaji ilishindakana.
f#*k O.J Simpson coz it ain't about race now....-game(my life)
 
"jibberish".....what is that Mr. Know-it-All?
listen, hey, I am no spelling bee... I mean, that's petty, come on.

I'm actually a janitorial scientist😀😀😀😀😀
right, and I don't think they study criminal cases in janitorial science, so please quit coming here talkin bout I followed this case at ma job, this that and the third...

But, let me ask you this, what is new in this ESPN iteration of the OJ story that we haven't heard before? And you better put your best foot forward here, 'cos you studied this darn thing at your job no less!
 
Back
Top Bottom