Huyu kijana alikuwa mkali sijuwi tatizo itakuwa ni nini maana ni long time tumemic michano yake
Afande naye kimya
Dudubaya kimya
Mabinti wa kitanga kimya
Squeezer kimya
Lazima hiki kiwanda cha muziki kina dosari flani si bure
Alikua akiishi yombo vituka sijui kwa sasa yupo wapi..,,
mandoyo na domokaya ,squezer nao kimya hawa jamaa wana uwezo mkubwa kimuziki
Kwa wale wapenda burudani naomba niwaulize swali msani oten sk hizi yuko wapi?mwenye taarifa tafadhali?
Kwa wale wapenda burudani naomba niwaulize swali msani oten sk hizi yuko wapi?mwenye taarifa tafadhali?
Kuna baadhi ya wasanii wengine, kama bushuke malaw nice dudu baya afande sele feruzi na daz nunda wote wamepotea kwenye gemu lazima kutakuwa na tatizo
Jamani kupotea sio Bongo tu hata mbele iko hivo,ni wachache wanaosurvive kwa mda mrefu kwenye hii game ya muziki. Hebu jiulize watu waliokimbiza sana mbele enzi hizo kama wakina Ja Rule,DMX,SISQO,R.KELLY,JOE THOMAS,MASE,BOW WOW,MASTER P,LIL ROMEO,WESTLIFE,BOYZ 2 MEN,etc wako wapi? Sometimes ni mambo ya wakati tu. Kuna wakati ukifika unajikuta hata utoe vipi ngoma kali still raia hawastuki
hapa bongo kwa sasa watu kama banana,prof j,FA,temba,nature,marlaw,jmo,TID,dully sykes nk hawa hata watoe ngoma kali niaje watu hawashtuki wala nini dizain kama wakati unawatupa mkono hivyo km walishindwa kujijenga kipindi hicho wako hot basi ndio bye bye.
Ni kweli walifanya kitu kizuri cha kuigwa walipomaliza bifu lao na afande sele