O-Ten (Philipo Nyandindi), yuko wapi siku hizi?

O-Ten (Philipo Nyandindi), yuko wapi siku hizi?

Huyu kijana alikuwa mkali sijuwi tatizo itakuwa ni nini maana ni long time tumemic michano yake
Afande naye kimya
Dudubaya kimya
Mabinti wa kitanga kimya
Squeezer kimya
Lazima hiki kiwanda cha muziki kina dosari flani si bure

Afande sele yupo moro anakula majani kama mbuzi.. Dudubaya amekuwa maryoo analelewa na mwanamke maeneo ya mwananyamala...bwana misosi amebadili fani siku hizi ni Kishoka wa umeme..squeezer yupoyupo hapa mjini mara ya mwisho nilimuona pande manzese amechili kijiweni wakipuliza lile zao korofi.
 
mhhh simjui huyu jamaa,ila ,mbona anaonekana kama hazimo kichwani kwenye hiyo video ya youtube
 
Huku alishahama muda mrefu na sijui alihamia wapi?

Nilisikia tetes anamiliki duka la nguo mwenge linaitwa mile pamba na huwa anapenda sana kushinda bar moja iko kinondoni inaitwa uhuru peak
 
Kuna mtu humu JF alisema anauza chips Mwenge. Anyway nilikuwa napita tu:A S 109:
 
mandoyo na domokaya ,squezer nao kimya hawa jamaa wana uwezo mkubwa kimuziki
 
Kwa wale wapenda burudani naomba niwaulize swali msani oten sk hizi yuko wapi?mwenye taarifa tafadhali?

Jamaa namuonaga sana bunju b njia ya mabwe pande kuna baa flani inaitwa tulivu pub nadhani atakua anaishi mitaa ya bunju b.
 
Kuna baadhi ya wasanii wengine, kama bushuke malaw nice dudu baya afande sele feruzi na daz nunda wote wamepotea kwenye gemu lazima kutakuwa na tatizo
 
Kwa wale wapenda burudani naomba niwaulize swali msani oten sk hizi yuko wapi?mwenye taarifa tafadhali?

kuna ngoma kafanya na kimbunga inaitwa "napunguza stress" ngoma kali sana na o ten kafanya poa ki ukweli ila jamaa kachoka balaa midomo myeusiii kwa sisi tulio wahi kukaa "dambweni" tunajua kua mtu akiungua midomo basi ujue ni mlaji mzuri wa bange.
 
km hunijui naitwa philipo nyandindi na adui yangu mkubwa ni samelani msindiii
 
Kuna baadhi ya wasanii wengine, kama bushuke malaw nice dudu baya afande sele feruzi na daz nunda wote wamepotea kwenye gemu lazima kutakuwa na tatizo

Jamani kupotea sio Bongo tu hata mbele iko hivo,ni wachache wanaosurvive kwa mda mrefu kwenye hii game ya muziki. Hebu jiulize watu waliokimbiza sana mbele enzi hizo kama wakina Ja Rule,DMX,SISQO,R.KELLY,JOE THOMAS,MASE,BOW WOW,MASTER P,LIL ROMEO,WESTLIFE,BOYZ 2 MEN,etc wako wapi? Sometimes ni mambo ya wakati tu. Kuna wakati ukifika unajikuta hata utoe vipi ngoma kali still raia hawastuki
 
hapa bongo kwa sasa watu kama banana,prof j,FA,temba,nature,marlaw,jmo,TID,dully sykes nk hawa hata watoe ngoma kali niaje watu hawashtuki wala nini dizain kama wakati unawatupa mkono hivyo km walishindwa kujijenga kipindi hicho wako hot basi ndio bye bye.
 
Dah ndo tabu ya biashara ya mziki watu wakikutema wamekutema, so ukipata nafasi ya kushine huna budi kuitumia vizuri kuinvest
 
Ni kweli walifanya kitu kizuri cha kuigwa walipomaliza bifu lao na afande sele

Kauli yako ipo katika wingi...ukimaanisha Sele na 0-ten.
..ingependeza kama ungeishia na "walipomaliza bifu lao" bila kumtaja sele tena.
 
Back
Top Bottom