njang'et
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 758
- 227
Huyu kijana alikuwa mkali sijuwi tatizo itakuwa ni nini maana ni long time tumemic michano yake
Afande naye kimya
Dudubaya kimya
Mabinti wa kitanga kimya
Squeezer kimya
Lazima hiki kiwanda cha muziki kina dosari flani si bure
Afande sele yupo moro anakula majani kama mbuzi.. Dudubaya amekuwa maryoo analelewa na mwanamke maeneo ya mwananyamala...bwana misosi amebadili fani siku hizi ni Kishoka wa umeme..squeezer yupoyupo hapa mjini mara ya mwisho nilimuona pande manzese amechili kijiweni wakipuliza lile zao korofi.