Oa au olewa kwa fikra sio Fashion

Oa au olewa kwa fikra sio Fashion

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Sikuhizi watu wanaoana kwa Fashion bila kutumia fikra , binadamu sisi ni mbegu , hauwezi ukapanda mbegu ya Tunda chungu utegemee upate Tunda lenye ladha. Fanya tafiti kwanza ya ukoo wa mke au mume unayetaka akuoe au umuoe. Maana kuna dhambi na laana huwa zinatembea vizazi kwa vizazi , kuna Koo zina historia ya kumwaga damu za watu na laana zake hadi za magonjwa . Unaweza ukakuta umezaa jambazi kumbe ni damu ya ukoo wa mke au mume. Genes huwa zinatembea . Dunia hii Mungu ameiumba kwa siri kubwa sana.Mchujo uwe mkubwa
 
Uko sahihi, ili kuoana inahitaji upembuzi yakinifu.
 
Kwa maisha ya sasa sio rahis kama ilivyo kuwa zaman kuchunguza na kujua sifa au tabia za ukoo unaoenda kuoa au kuolewa
 
Hili swala Lina ukweli kabisa, zamani wazee wetu hawakua wanachumbia mpaka ,pale wazazi na wazee wa ukoo watakapo jiridhisha na chimbuko la koo anapoenda kuoa...
Ila kwa leo imekua ni maamuzi ya binti na msela wake 😫😫Kama get lipo basi utaskia msela ameshao
 
Back
Top Bottom